NILILAZIMIKA kumchukia msichana MMU pamoja na uvumilivu wangu wote,goodbye 2013 nitamsamehe 2014

me white girl tu..cjui dada ana tatizo gani na mim
ananichukia huyoo
kila thred yangu yupo negativ tu ila sina tatizo nae mie
ni changamoto tu za kazi
 
Last edited by a moderator:
Hivi katika dunia hii fekero ya MMU unaanzaje kumchukia mtu ambaye hata hujui jinsia yake, umri wake wala muonekano wake...!!!
mbona na wewe unanishangaa mimi wakati unijui kwa kitendo nilichokifanya cha kumchukia mtu nisiyemjua????????????????ngoja nikupe somo, hakuna mtu anaechukia mtu kwa sababu ya muonekano ama sura ya mtu, watu wanachukia watu kwa sababu ya matendo yaao,mienendo yao na maneno yao,mtu akikutukana mbele yako hauchukii kwa sababu unamuona bali unchukia kutokana na alichokisema,mtu akikutukana kwa kukuandikia meseji ya simu mathalani demu wako,haukasiriki kwa sababu namjua,bali unakasirika kwa sababu ya alichokiandika, na hata mimi maandishi ama maneno ya huyo mtu ndiyo yalionichukiza lakini lazima nichukie aliyeyaandika kwa ID yake hata kama sijawahi kuonana nae
 
ukishajua kwamba huwezi kupendwa wala kuchukiwa na watu wote wala huwezi kupata shida..........

Hususan na watu wa mtandaoni
Walio nyuma ya komputa au simu zao
Wakitumia majina bandia
Na zaidi hakujui humjui
Hakuongezei humuongezei
Hakupunguzii humpunguziii
 
avatar yako imenikumbusha mpenzi wangu wa kwanza kumpenda kwa dhati, you look so similar. nimependa sana hii picha

Jamani...pole! Maana kama ni wa kwanza ina maana kwasasa hayupo!. Huyo dada anaitwa Pokello,mshiriki wa BBA kutoka Zimbabwe.
 
Jamani...pole! Maana kama ni wa kwanza ina maana kwasasa hayupo!. Huyo dada anaitwa Pokello,mshiriki wa BBA kutoka Zimbabwe.

ni kweli she is now my very best friend, like this picture.
si mfatiliaji wa BBA ndo mana hata sikujua mpaka nimeona hapa
 
1476578_646750842042075_1984688532_n.jpg


cc.. Mshinga
 
Last edited by a moderator:
Mwishowe mtakuja kuchukia hata robot, unacheza na internet nini?
 
Back
Top Bottom