IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,333
Sana namchukia sana huyu kibaraka!Naiona chuki yako kwa Lissu, ilihali yawezekana umeyajua mengi ya nchi hii kupitia viongozi wa upinzani. Na pengine hata uimara unaouona CCM leo unatokana na uwepo wao, ila kwakuwa hujui hilo, unawachukia.
Leo ukiulizwa kwanin nchi yako inaendelea kuomba mikopo na misaada kwa hao mnaosema mabeberu, hutakuwa na jibu
Ukiulizwa uchumi wa kati maana yake nini, hutajibu
Ukiulizwa uchumi wa kati na uhalisia wa maisha yatu, hutajibu
Ni ushabiki, ushabiki, ushabiki!!!
Na siyo mimi tu watz wengi sana wameahirisha kumpigia kura sababu ya ujinga wake wa kumajiri Amsterdam mbelgiji awe anaingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Mpinzani akikuwa Slaa siyo hawa vibaraka wa sasa hivi.