Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

kesi ya mtikila ya 2011 alitumia mawakili kutoka ivory coast na akashinda....
Uko mkoa gani ili kesho tunywe kinywaji ukitakacho na kula at my cost? Waambie hao book jero wanasumbua hapa Mkuu. Wavivu kufikiri sana hawa. Ushindi wao wa mabavu tu. Yaani wana hofu kubwa
 
Kwa kuwa inajulikana ushindi CCM 2010, 2015 ilikuwa ni mashaka basi alijua 2020 ndiyo tatizo zaidi. Na amejiandaa kisheria na ni haki yake. Katiba ya nchi haimzuii. Na agenda kubwa kwake kwa sasa ni Uchaguzi na ndiyo mwanasheria atatumika kwa agenda iliyopo jikoni. Iwe fair game tu na alisema hana shida.
Kamamnajiamini ni kwa nini nguvu zote hizo?

Mungu ametuletea Mkombozi. Leo mara ya kwanza kwenye huu Uzi natamka "NiYeye2020". Lissu amekuja kuturejeshea uhuru na haki zetu.
Ni yeye kibaraka!

Lisu hajui siasa ni mwanaharakati ndio maana kupanda jukwani na kina Ponda ambae vyombo vga usalama vinamlia darubini 24 hours yeye haoni shida

Kumtumia Amsterdam raia wa kigeni kumsemea juu ya mambo ya uchaguzi wa nchi ambayo siyo yake haoni shida

Kwenda Zanzibar na kusema chadma haina maslahi na Zanzibar haoni shida. Kisha anataka awe rais wa mungano na anategemea vyombo vya usalama vimpe sapot.

Bure kabisa.
 
Ni yeye kibaraka!

Lisu hajui siasa ni mwanaharakati ndio maana kupanda jukwani na kina Ponda ambae vyombo vga usalama vinamlia darubini 24 hours yeye haoni shida.
Kumtumia Amsterdam raia wa kigeni kumsemea juu ya mambo ya uchaguzi wa nchi ambayo siyo yake haoni shida.
Kwenda Zanzibar na kusema chadma haina maslahi na Zanzibar haoni shida. Kisha anataka awe rais wa mungano na anategemea vyombo vya usalama vimpe sapot.

Bure kabisa.
Ana uhuru wa kumtumia mtu yoyote yule. Ni haki yake
 
Usichokielewa ni kwamba hao hawaleti hela bila wao kupata returns!

Sasa wewe umekalilishwa na Lisu kwamba tz bila wazungu hatuwezi kuishi. Kauli kama hii inatoka kwa mgombea urais ni uzwazwa huu?
Ukiweza kwa muda wako, zifuatilie nchi zilizotengwa na hao mabeberu kwa kipndi fulan, ujue walipita kweny hali gani.
Yawekana unachojua ni kula na kulala tu

Kwako watu wakila wakalala wakaamka wakala na wakalala basi unaona maisha yameishia hapo.
Nidanganye kuwa mnaweza halafu kesho fungua redio usikie mmepokea mkopo wa $300mil
 
Hivi hii mitandao hata Balozi wa Marekani naye hawezi kutweet? Musiba je?
Kama ana VPN anamwemwereka tu

Ujue wote walowahi kupakua app ya VPN wanendelea ku-access hiyo mitandao kama kawaida
Ila kwa Sasa huwezi maana hata play store na Google store imefungwa
 
Ukiweza kwa muda wako, zifuatilie nchi zilizotengwa na hao mabeberu kwa kipndi fulan, ujue walipita kweny hali gani.
Yawekana unachojua ni kula na kulala tu.
Kwako watu wakila wakalala wakaamka wakala na wakalala bas unaona maisha yameishia hapo.
Nidanganye kuwa mnaweza alafu kesho fungua redio usikie mmepokea mkopo wa $300mil
Ndio tunataka tutoke huko ili nasisi tuwe tunawatunishia misuli kwamba tukiwawekea vikwazo wawe kama Zimbabwe. Sasa Lisu yeye anataka tuendelee kuwaabudu tu
 
Ishu sio Magufuli hana uhakika wa kushinda ila ishu ipo kwenye usalama wa taifa hasa wakati huu wa uchaguzi
 
Hii yote ni kuzuia wapumbavu wachache kusambaza propaganda za kizushi! Watanzania linapokuja suala la uzushi mitandaoni tuko vizuri sana!

Sasa katika kipindi hiki cha kumzuia Amsterdam ni muhimu sana kuzuia wajinga wasilete ngebe mitandaoni
Wewe ni fisi kama tu chama chako kilivyo hujui wengine mitandao ndio ofisi zetu
 
Ndio tunataka tutoke huko ili nasisi tuwe tunawatunishia misuli kwamba tukiwawekea vikwazo wawe kama Zimbabwe. Sasa Lisu yeye anataka tuendelee kuwaabudu tu
IDEGENDA nadhani hujawahi kujua ugumu wa maisha walopitia watu wa Zimbabwe na hata leo hujui wana hali gani kiuchumi.
Kiufupi tu, Tz haina uwezo wa kujiendesha kwa kodi yake yenyewe kwa viongozi waliopo sasa, unless waacha kujigawa 1.5T kama wafanyavyo sasa.

Ila kwakuwa ni lazima muwepo ninyi mnaokubali kila jambo, basi endeleeni kuwapo, ila ukweli ndio huo, HATUWEZI na ndio maana tunakopa kila uchwao
 
Ndio inamkosti sasa hapati urais
Na vile watanzania hawapendi dharau sasa😁 hakuna kitu tundu alichemka kama kuwaonyesha watanzania kwamba uzungu ni bora kuliko uswahili.
Watam surprised sana kwenye sanduku la kura kesho

Kweli wahenga walisema mcheza kwao hutuzwa
 
Na vile watanzania hawapendi dharau sasa😁 hakuna kitu tundu alichemka kama kuwaonyesha watanzania kwamba uzungu ni bora kuliko uswahili.
Watam surprised sana kwenye sanduku la kura kesho

Kweli wahenga walisema mcheza kwao hutuzwa
Hoja dhaifu. Lissu alitushtua na tunampenda tutampigia
 
Nimesikitishwa kitendo cha star TV kukata matangazo ya BBC kisa tu walikuwa wanatoa taarifa ya mauaji ya watanzania wenzetu yaliyotokea leo huko Zanzibar. SHAME ON YOU STAR TV kipi mnachoficha
 
Hawa wajinga wanahangaika mpaka nawahurumia, najua wana-fight kulinda ajira zao, CCM hawawezi kushinda kwa kuiba kura, wakijaribu wajiandae kwa machafuko.

Kigogo anafanya vizuri sana kuwaumbua hawa mashetani.
Wanatia huruma. Hizo wanazotengeneza kesho hawapati pa kuzipitisha
 
Back
Top Bottom