Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

Naiona chuki yako kwa Lissu, ilihali yawezekana umeyajua mengi ya nchi hii kupitia viongozi wa upinzani. Na pengine hata uimara unaouona CCM leo unatokana na uwepo wao, ila kwakuwa hujui hilo, unawachukia.
Leo ukiulizwa kwanin nchi yako inaendelea kuomba mikopo na misaada kwa hao mnaosema mabeberu, hutakuwa na jibu
Ukiulizwa uchumi wa kati maana yake nini, hutajibu
Ukiulizwa uchumi wa kati na uhalisia wa maisha yatu, hutajibu
Ni ushabiki, ushabiki, ushabiki!!!
Sana namchukia sana huyu kibaraka!

Na siyo mimi tu watz wengi sana wameahirisha kumpigia kura sababu ya ujinga wake wa kumajiri Amsterdam mbelgiji awe anaingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Mpinzani akikuwa Slaa siyo hawa vibaraka wa sasa hivi.
 
Ninahisi ni kwa usalama wetu, maana watanzania tu mabingwa wa kuacha kazi zetu na kufanya za wengine, mwalimu anataka awe muuguzi, muuguzi muuza duka , muuza duka mlinzi. Wengi wetu tungegeuka kuwa NEC, ZEC ,polisi nk na kufanya hivyo tungekiuka sheria na kuingia hatiani kwa kutoa taarifa za uzushi, uchochezi. Hakuna shida mawakala wapo kila kituo na matokeo yatabandikwa vituo vyote!
Nina hakika hujafurahia pamoja na maneno yako ya kujitia moyo.
Takuuliza jambo dogo

Leo asubuhi kulisambaa taarifa kuwa Z'bar polisi wameua watu kadhaa, hakuna chombo chochote cha ndani kilitoa taarifa ile iwe kwa kukanusha au kukubali

Sasa kwa habari kama hizo, unajuaje kuwa ni uzushi au uchochezi? Unajuaje kuwa ni kweli au uongo?
 
Tutaheshimiana au tutaendelea kufa na tai shingoni!?
Kumbe na wew n mbumbumbu namna hii??
Unafikiri ni nan amenufaika na utawala huu?
Nitajie walau kundi moja tu
Nilishani Paskal ana akili kumbe mbumbumbu, anajivunjia heshima aliyoitengeneza kirahisi namna hii
 
Hata twitter mlikuwa mnadanganywa hivyo hivyo kwamba hawana uwezo wa kuifanya chochote maana siyo ya bongo.
Melo ni wa hapa hapa hata yeye hawezi kuruhusu uzushi kwenye huu ntandao wake ndio maana kila mkileta picha zenu za uzushi zinafyekwa, hiyo tu inatosha jf kuendelea kuwa hewani.
Huna akili wewe na huelewi chochote kuhusu digital appl, mbona kunakipind JF walijaribu kuihack, na ikazuiliwa zaidi ya week mbili kwa kuambiwa waombe kibali, watumie server za Tz, ili wawe monitored ni TCRA, wakataki kuhamia Kenya. Wewe ni pimbi tu usie naelimu yeyote unawalamba mabwana zako makali.o ili wakufikirie kwenye teuzi, lkn ungekuwa umesoma na ukaelimika ungejua Magufuli hafai hata kuwa diwani wa kata.
 
Download SUPERVPN halafu connect, unatudi hewani kwenye mitandao yote waliyoifungia, ni rahisi na faster

Kwa hili la kufungia mitandao ya kijamii, imenikera sana.
 
Hata twitter mlikuwa mnadanganywa hivyo hivyo kwamba hawana uwezo wa kuifanya chochote maana siyo ya bongo.
Melo ni wa hapa hapa hata yeye hawezi kuruhusu uzushi kwenye huu ntandao wake ndio maana kila mkileta picha zenu za uzushi zinafyekwa, hiyo tu inatosha jf kuendelea kuwa hewani.
Kwa bahati mbaya hujawah kujua kuwa JF haijawah kuwa dampo la taarifa za uongo na uchochezi. Utakuwa uliingia bila kusoma terms en conditions zake. Pole
 
Tutaheshimiana au tutaendelea kufa na tai shingoni!?
Kumbe na wew n mbumbumbu namna hii??
Unafikiri ni nan amenufaika na utawala huu?
Nitajie walau kundi moja tu
Muda wa kampeni umekwisha, subiria baada ya kesho, utawashuhudia wafaidika.
P
 
Tutaheshimiana au tutaendelea kufa na tai shingoni!?
Kumbe na wew n mbumbumbu namna hii??
Unafikiri ni nan amenufaika na utawala huu?
Nitajie walau kundi moja tu
Wewe ulitaka unufaikeje? Uletewe burungutu la hela?
 
Sana namchukia sana huyu kibaraka!

Na siyo mimi tu watz wengi sana wameahirisha kumpigia kura sababu ya ujinga wake wa kumajiri Amsterdam mbelgiji awe anaingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Mpinzani akikuwa Slaa siyo hawa vibaraka wa sasa hivi.
Watanzania kibao wana wanasheria nje. Acha hizo. Kaongee na matajiri wote wakubwa utagundua wote wana firms za sheria nje wanawatumia. Hata Marehemu Mengi at times alishakuwa nao. Yaani zero IQ ndiyo tatizo letu tunawaza mwisho pua.
 
Download SUPERVPN halafu connect, unatudi hewani kwenye mitandao yote waliyoifungia, ni rahisi na faster

Kwa hili la kufungia mitandao ya kijamii, imenikera sana.
Play store imezimwa pia. Hata ukipitia Google ile VPN inakurudisha play store
 
Huna akili wewe na huelewi chochote kuhusu digital appl, mbona kunakipind Jf walijaribu kuihack, na ikazuiliwa zaidi ya week mbili kwa kuambiwa waombe kibali, watumie server za Tz, ili wawe monitored ni TCRA, wakatak kuhamia kenya. Wewe nipimbi tu usie naelimu yeyote unawalamba mabwana zako makali.o ili wakufikirie kwenye teuzi, lkn ungekuwa umesoma na ukaelimika ungejua Magufuli hafai hata kuwa diwani wa kata.
Sasa hizi hasira zako unamtolea nani hapa? Jinga kweli wewe!

Nenda kajinyonge ufe! Selikali ndio imezima sasa ili kuzuia kusambaza takataka zenu. Kama vipi kinukishe, si Lisu wenu kasema kinukisheni?
 
Watanzania kibao wana wanasheria nje. Acha hizo. Kaongee na matajiri wote wakubwa utagundua wote wana firms za sheria nje wanawatumia. Hata Marehemu Mengi at times alishakuwa nao. Yaani zero IQ ndiyo tatizo letu tunawaza mwisho pua.
Kesi ya Mtikila ya 2011 alitumia mawakili kutoka Ivory Coast na akashinda....
 
Unashabikia Mitandao kuzimwa, vijana acheni kujipendekeza kijinga namna hiyo, na hakuna cha msingi mnachopata kwenye huo utawala zaidi ya kujipendekeza tu
Ni kwa usalama wako wewe pamoja na bibi zako kule kijijini.
 
73 Reactions
Reply
Back
Top Bottom