Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

Unaumizwa na hili ila unajitia upumbavu tu. Hufurahii hata kidogo, nauhakika.
Wakati mwingine tuzikumbuke akili zetu mahala tulipozizika kisa CCM
Usishikiwe akili na kina Amsterdam!

Lisu hawezi kutumia beberu wake kutaka kuvuruga nchi
 
Kesho utasikia CHADEMA wanalalamika wapiga kura wao wamezuiwa kutimiza haki zao za kidemokrasia kwenye vituo vya kupigia kura.

Halikadhalika NEC imetoa elimu kwa wapiga kura namna ya kutambua vituo vyao vya kupigia kura kama hawana uhakika.

Wanasiasa badala ya kutoa hiyo elimu nah wapo bize kutunga uongo mpaka muda wa lala salama. Na wameshaambiwa mtu ukifika kituo ambacho ujasajiliwa hutopiga kura.

Akujawahi tokea uchaguzi uliokuwa wa wazi na usawa Tanzania kama wa mwaka huu na NEC imetumia muda mwingi sana kuelezea kila kitu na kutoa elimu ambayo wanasiasa awaitoi kwa wapiga kura wao wanapokuwa majukwaani.

Kesho ni siku ya kurudisha ndama kwa mabeberu yaliyomleta atukosei watanzania. Mitandao imefungwa mbona sie hatupati hizo shida au network zinachagua simu za wanachadema tu.
 
Ni haki yako kuwa mwanaCCM, lakini inatia shaka utimamu wa akili yako kuona unashabikia kuzimwa social media!! Na unajihisi wew ni nguvu kazi!! Ajabu kabisa
Taifa hili ni zaidi ya Lisu na Amsterdam.

Selikali yangu kuzima mitandao ili kuzuia uhuni wa wajinga na wapumbavu wachache kina kigogo naunga mkono hoja.
 
Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
Kinukishe acha kubwabwaja humu
 
Kwahiyo jf iko vizuri kuliko twitter, WhatsApp nk?
Umeelewa Jf unaipta kwenye browser mbalimbali, so ili uizuie JF inabid ufunge APPL kama google chrome, firefox na nyinginezo, au google engine uizuie isifanye kazi. Ingekuwa inapatikana kwa JF appl tu ingezimwa faster

Lakini hawana uwezo wakuizima google na browser zake ka google chrome. Kwa hiyo ili wafanikiwe labda waihack jambo ambalo walishashindwa tangu 2013 umesikia wewe MATAGA. Hizo nyingine zimezimwa kwa sababu ni application tu, lakini nazenyewe ingekuwa access yake inategemea SE kwenye google isingekuwa simple.
 
Halafu kuna ng'ombe zilikua zinasema mitano tena!!! Mxeeew
Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
 
Huwa nafurahi kusikia mkiwasema so called mabeberu ambao nusu ya bajeti yenu inawategemea
Na mimi huwa nafurahi jinsi mnavyoshangilia kila kitu Lissu anachowaongopea.

Leo kazuiwa kuruka akiwa KIA na mamlaka ya anga, ila kwa ushujaa wake akaamua kuondoka kwa lazima. Wafuasi wa CDM sema baba wamezoea; as if that is possible. Badala ya kuwaambia ukweli sababu ya kuchelewa alikuwa anapima upepo kwanza kama uwanja utajaa.

Muhimu ya yote kesho ndio mwisho wake hakuna campaign za majukwaani baada ya hapo.
 
Taifa hili ni zaidi ya Lisu na Amsterdam.

Selikali yangu kuzima mitandao ili kuzuia uhuni wa wajinga na wapumbavu wachache kina kigogo naunga mkono hoja.
Naiona chuki yako kwa Lissu, ilihali yawezekana umeyajua mengi ya nchi hii kupitia viongozi wa upinzani. Na pengine hata uimara unaouona CCM leo unatokana na uwepo wao, ila kwakuwa hujui hilo, unawachukia.

Leo ukiulizwa kwanin nchi yako inaendelea kuomba mikopo na misaada kwa hao mnaosema mabeberu, hutakuwa na jibu
Ukiulizwa uchumi wa kati maana yake nini, hutajibu

Ukiulizwa uchumi wa kati na uhalisia wa maisha yetu, hutajibu
Ni ushabiki, ushabiki, ushabiki!!!
 
Tangu juzi kulikuwa na tetesi za kwamba mitandao ya kijamii itazimwa kuanzia leo tarehe 27/10. Binafsi sikuamini kabisa habari hii kwa sababu moja tu;
Hakuna athari itakayotokea kuharibu uchaguzi kwa watu kuendelea kutumia mitandao hii. Sasa imefungwa, bila taarifa kwa umma, au yawezekana mimi ndio sikubahatika kupata taarifa. Naumia mno, nasononeka sana ukizingatia mahali nilipo sina namna nyingine ya kupata habari kwa haraka zaidi ya kupitia twitter, wasp, insta au FB.

Kwa sababu hii, naamini kuwa uchaguzi huu ni muhimu pengine mwingine wowote uliowahi kufanywa hapo awali. Kweli JPM hana tumaini la kumshinda Tundu Lissu, na njia pekee ni kutumia ubadhilifu, naelekea kuamini hivyo japo awali sikuwa na imani hiyo.

Nina swali dogo tu, kungetokea nini kama mitandao hii ingeendelea kuwa active? Nini kimekusudiwa kufichwa ambacho hakitafumbuliwa hata siku wakiiwasha tena?

JPM na serikali yake wanalenga kufanya nini?
Ninahisi ni kwa usalama wetu, maana watanzania tu mabingwa wa kuacha kazi zetu na kufanya za wengine, mwalimu anataka awe muuguzi, muuguzi muuza duka, muuza duka mlinzi

Wengi wetu tungegeuka kuwa NEC, ZEC, polisi nk na kufanya hivyo tungekiuka sheria na kuingia hatiani kwa kutoa taarifa za uzushi, uchochezi. Hakuna shida mawakala wapo kila kituo na matokeo yatabandikwa vituo vyote!
 
Mbona alipigwa kororoni mpaka katolewa kwa dhamana?

Mimi nlifikiri aliookamatwa wafuasi wake mngeenda kumtoa kwa nguvu
Wapiga kura wengi wameogopa kupiga kura Leo Zanzibar.

Source: BBC

My take: Huo ni Ushindi kwa ACT WAZALENDO
 
Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Tutaheshimiana au tutaendelea kufa na tai shingoni!?
Kumbe na wewe ni mbumbumbu namna hii?

Unafikiri ni nani amenufaika na utawala huu?
Nitajie walau kundi moja tu
 
Umeelewa Jf unaipta kwenye browser mbalimbali, so ili uizuie JF inabid ufunge APPL kama google chrome, firefox na nyinginezo, au google engine uizuie isifanye kazi. Ingekuwa inapatikana kwa JF appl tu ingezimwa faster. Lkn hawana uwezo wakuizima google na browser zake ka google chrome. Kwahio ili wafanikiwe labda waihack jambo ambalo walishashindwa tangu 2013 umesikia we MATAGA. hizo nyingine zimezimwa kwa sababu ni application tu, lkn nazenyewe ingekuwa access yake inategemea SE kwenye google isingekuwa simple.
Hata twitter mlikuwa mnadanganywa hivyo hivyo kwamba hawana uwezo wa kuifanya chochote maana siyo ya bongo.

Melo ni wa hapa hapa hata yeye hawezi kuruhusu uzushi kwenye huu ntandao wake ndio maana kila mkileta picha zenu za uzushi zinafyekwa, hiyo tu inatosha JF kuendelea kuwa hewani.
 
Binafsi taarifa fake za mitandaona hua zinanikera maana nashindwaga kujua ukweli mimi ni upi.

JF nyie mmefanyaje mko hewani tu japo kwenye telegram mumekwama...
 
Back
Top Bottom