Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

Hii yote ni kuzuia wapumbavu wachache kusambaza propaganda za kizushi! Watanzania linapokuja suala la uzushi mitandaoni tuko vizuri sana!

Sasa katika kipindi hiki cha kumzuia Amsterdam ni muhimu sana kuzuia wajinga wasilete ngebe mitandaoni
Unaumizwa na hili ila unajitia upumbavu tu. Hufurahii hata kidogo, nauhakika.
Wakati mwingine tuzikumbuke akili zetu mahala tulipozizika kisa CCM
 
Mmiliki wa JF yupo hapahapa, hawezi kukubali kufunga wala kukataa kutofunga bila sababu za msingi.
Ameamua kuwanyima access kwa sababu hawana sababu za msingi
Shukrani sana kwa ufafanuzi mzuri,
Hongera sana kwa Max Melo.
 
Hawa wajinga wanahanhaika mpaka nawahurumia, CCM hawawezi kushinda kwa kuiba kura, wakijaribu wajiandae kwa machafuko.
Nasuburi nione mkikinukisha!

Hivi kwa akili zenu mnadhani huyo kibaraka wenu ana kura za kuibwa?

Mtu anaetazamiwa kupata 20% anaibiwa kitu gani?
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Mmiliki wa JF yupo hapahapa, hawezi kukubali kufunga wala kukataa kutofunga bila sababu za msingi.
Ameamua kuwanyima access kwa sababu hawana sababu za msingi
Melo wanammudu! Akijaribu na wameongea nae kwa kina kwamba asiruhusu mtandao wake uwe sehemu ya kueneza propaganda. Ndio maana ukiposti ujinga unakula ban na ujinga wako unafutwa.
 
Back
Top Bottom