Mtambuzi, kuna makojoleo mengine huwa yanakuwa n amatawi. Naona jamaa alikuwa na bidhaa yenye matawi piaHuyu jamaa alikuwa ni bonge la msanii, unaambiwa enzi zake alisumbua sana maana alikuwa ni bingwa wa kujichanganya na wanawake utadhani kojoleo lake linamuwasha.........
@Mtambuzi jaribu ufumwe na Mama Ngina then umwambie 'I wasn't kissing her, I was whispering in her mouth' uone huo moto wake.
Huyu jamaa alikuwa ni bonge la msanii, unaambiwa enzi zake alisumbua sana maana alikuwa ni bingwa wa kujichanganya na wanawake utadhani kojoleo lake linamuwasha.........
Acha udaku, mtoto kwa kupenda kusoma udaku wewe na ndio maana kwa room yako umejaza magazeti ya Chogongo ya Kiu, Ijumaa, nk.............