Nilikuwa nakutega tu!!

Hawa ni hatari sana
Yaani utadhania mnauziana vile
Ni bora tuwe tunadai risiti aisee!!!!!!!
 
,.....simu ilipoita ukatoa a (ggxxxxyyyy).....bILI ilipoletwa katoa misimbaziiiiiiiiii

We mpe mpe helaaaa a nakwambi HAKYI ya papuchi ....we mpe mpe helaaaaa
Daktariiiiii toa helaaaaaa.....

Ha,ha.,nilitoa nokia tochi. Nilipolipa bili nikasepa. Leo kanitafuta ananiuliza kama nina muda.
 
Umemwambiaje?

Au sikiliza nikuambie kitu mkuu,
Kubaliana nae halafu mwambie kuwa yule jamaa alikuita dr kwa kuwa ulikuwa mganga wa kienyeji siku za nyuma
Halafu uone atakuambiaje!

Ha,ha,ha. Yawezekana ameshagoogle fb maana kuna sehemu inaonesha chuo nilichosoma.
 
Unakamgegede au mkagegedane? si raha mwapata wote na anaweza pata raha zaidi yako, halafu eti ukaondoka unajisifu umemkomesha kumbe umempa raha

Sasa mbona mnataka sie ndo tuwalipe? Si tuwe tunapeana baada ya utamu kuisha?
 
Wanawake wa dizaini hiyo wananikeraga sana ndo maana wanapewa mapesa kibao ili mambwa yawatafune
Unamkuta binti mzuri amemchanulia mbwa anamtafuna fyuuu...... pamb ......vu kabisa , she.......n....zzzi type !!!
 
no no no don't change the reality bwana okey.... mwanaume atakula kwa nyasho na mwanamke atazaa kwa uchunguu.........................

Mmmmmmh!
Thats true as a General rule! But there is no general rule without exceptions!
...
For me, love is free style! Yani fulu maraha! And if ukianza tu kutenga majukumu kama hayo ndio unaharibu!
Ivi mimi kumsaidia kupika buu wangu kuna ubaya! And how if nisipomsaidia?
...
Believe me life is so sweet! If u want it to be!
Na maisha magumu sana ukitaka!
...
Kusema hivyo haimanishi nakimbia majukumu yangu!
Timu mzuri ni ile wote mnalinda na kushambulia!
...
Hope umenisouma Miss Chagga!
 
Wanawake wa dizaini hiyo wananikeraga sana ndo maana wanapewa mapesa kibao ili mambwa yawatafune
Unamkuta binti mzuri amemchanulia mbwa anamtafuna fyuuu...... pamb ......vu kabisa , she.......n....zzzi type !!!
Madam umekasirishwa sana yaonekana!!?
 
nimekuelewa sana ila pale anapotokea kama huyo inabidi ukubali tu......
 
Ndo maana halisi ya ile kauli inayosema uchumi mnao lakini mme ukalia .
Chako ndo kina kuweka hapa mjini, hakuna shamba wala kazi lakini mtu anangaa kila kukicha.
Na ukichukua muda kumfuatilia utakwaa kisiki,
Pia mapenzi ya siku hizi hakuna kugandana ni kumalizana leo leo,
Usisahau kitu kingine kwamba mapenzi ni kinga'muzi pesa ndo digital.
==yeroo==
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…