Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,758
MWANAUME HUWEZI KUWA NA APP YA MANGI KIMAMBI. HUWEZI KUWA MWANAUME NA UKAWA NA HIYO APP
Umewahi waeleza kuwa bahari haiitaji maji ya mvua wajenge mabwawa ya kilimo Cha umwagiliaji?ajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nnje ya nchi.
Wewe ni wa kike au wa kiume?Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa. nikasema haina shida lets meet. ni almost two months anasisitiza jambo hilo. nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu flani kwenye simu yake.
heeeeeeh................nimeangalia ana app ya mange kimambi.... nikamtoa akili kabisa. kumbe jamaa hayupo serious na maisha kabisa ndo maana nilikuwa namwona tu kama sometimes hajielewi elewi anaongea sana. jamaa anajua taarifa za mastaa wa bongo na michepuko yao kuliko kuelewa mambo ya msingi katika maisha ambayo yatakuwa na mchango chanya kwake. nilimuuliza maswali kadhaa tu kupima uelewa wake. nikaona ana elea elea sana.
Ila tukiwa pamoja akaingia insta...kisha akaanza kuniambia kwa sasa msanii flani anatoka na sijui nani na hapo akawa amepokea simu nyingine ananiambia amepigiwa simu na msanii mmoja wanataka waende Dodoma wakaonane na waziri flani. huo msanii ni demu ni kama anampeleka kumkuwadia. maana anasema huyo waziri anamtaka sana huyo demu. so kawaaambia waende wakaeleze changamoto zao. so hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na mawaziri. hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nnje ya nchi.
Huyu jamaa ni kilaza nilim block jana hiyo hiyo abaki kuwa kuwadi mi sitaki ukaribu na watu wasio jielewa. MWANAUME HUWEZI KUWA NA APP YA MANGI KIMAMBI. HUWEZI KUWA MWANAUME NA UKAWA NA HIYO APP.
NIMEPASUA JIPU.
Najaribu kufikiri ni kazi gani itakupa nafasi ya kushinda na mawaziri ukifanya nao vikao na kusafiri nao.hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nnje ya nchi
Ndio maana nikasema kama hii chai haina tangawizi, sijuiNajaribu kufikiri ni kazi gani itakupa nafasi ya kushinda na mawaziri ukifanya nao vikao na kusafiri nao.
1. Uraisi/Makamo.
2. Ukatibu mkuu
3. Uwaziri mkuu
4................
hujajua tu mkuu. usilazimishe watu wote wawe na mitazamo yakoJamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake.
Heeeee! Nimeangalia ana app ya Mange Kimambi, nikamtoa akili kabisa! Kumbe jamaa hayupo serious na maisha kabisa ndio maana nilikuwa namwona tu kama sometimes hajielewi elewi anaongea sana.
Jamaa anajua taarifa za mastaa wa bongo na michepuko yao kuliko kuelewa mambo ya msingi katika maisha ambayo yatakuwa na mchango chanya kwake. Nilimuuliza maswali kadhaa tu kupima uelewa wake, nikaona ana eleaelea sana.
Ile tukiwa pamoja akaingia insta, kisha akaanza kuniambia kwa sasa msanii fulani anatoka na sijui nani na hapo akawa amepokea simu nyingine ananiambia amepigiwa simu na msanii mmoja wanataka waende Dodoma wakaonane na Waziri flani.
Huyo msanii ni mwanamke ni kama anampeleka kumkuwadia. Maana anasema huyo Waziri anamtaka sana huyo demu. So kawaaambia waende wakaeleze changamoto zao. So hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na Mawaziri! Hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nje ya nchi.
Huyu jamaa ni kilaza, nilim-block jana hiyo hiyo abaki kuwa kuwadi, mi sitaki ukaribu na watu wasiojielewa. Mwanaume huwezi kuwa na App. ya Mange Kimambi. Huwezi kuwa mwanaume ukawa na hiyo App.
Nimepasua jipu.
Tuinywe tu.Ndio maana nikasema kama hii chai haina tangawizi, sijui