Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Haya... My queen nahisi aliliwa...
Hapana bana my king acha uchokozi sky anampenda mchumba wake alienae
Would you do that my king ??? [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Mahondaw wa Smart911
 
Siyo tu kwamba sitaofanya hivyo... Bali kile ktengo cha kutoka out na ex i will never...
 
Kwa nini sasa...

Cc: mahondaw
Sky Anajali.

Smart911 wangu hapo ananipa mashaka. Means yeye angekubalia lol[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ukirudi tu najua takuchapajeee[emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] though najua you won't dare unajitambua my king

Mahondaw wa Smart911
 
Tatizo naye alikuwa na pupa akashindwa kufuata protocol elekezi,angekuwa ni mimi ungelika tu tena kwa hiyari yako mwenyewe.Kwanza angeacha siku ya kwanza ipite,huwezi mla mwanamke anayejielewa siku ya kwanza tena gesti,siku ya kwanza ni ya kufamiliarise,kusoshalize,kumfanya mdada awe komfotabo na wewe,alafu unaomba apointment nyengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa,jamaa alikuwa na pupa au pengine anamjua bibie huwa ni maji Mara moja toka kitambo kwahyo akajua ni suala simple LA kumshika mkono tu unaenda kujilia papa na kumbe bibie siku hz mjanja haliki kiulani kiasi hicho
 
Sky Anajali.

Smart911 wangu hapo ananipa mashaka. Means yeye angekubalia lol[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ukirudi tu najua takuchapajeee[emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] though najua you won't dare

Mahondaw wa Smart911
Hahaha... I can't do anything with ex.. mahondaw wangu... Kwanza ex atanianzia wapi kuniomba out...
 
Huu mfumo utakuchelewesha sana mkuu, mleta mada ameshasema ndo mpenz wake wa kwanza.... kwahyo walikuwa hawaend kufanya kitu kigen kias cha kuanza kumtengeneza awe comfortable, kwahyo kumranda siku hyo hyo ilikuwa inawezekana.

alichokosea jamaa ni kitu kidogo sana,
Mnapoachana na mpenz wako kwa kipind kirefu, mkija kukutana tena, kila mtu huwa anajaribu kujiweka juu.... yan kila mtu anaonyesha pride yake, kwahyo kitendo cha kumpeleka gest kilikuwa na tafsiri ya dharau kwa mwanamke, kichwan alianza kujiuliza hiv huyu ananichukuliaje? Akaona ameletewa dharau, lakin jamaa ilibd aombe geto hta la jamaa ake aende akakae na bint huko huku wanakula nyamachoma yao wakiwa ndan, hku jamaa akiwa amejifanya mdooooogo, hapo dogo hasingechomoa.

kisaikolojia, mwanamke mwenyewe alikuwa amejiandaa kuliwa... (japokuwa atabisha).. unakuta alishavaa ile chup yake anayoipenda... ila jamaa kashindwa kutembea kwenye reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na papuchi usikute aliinyoa vizuri kabisa[emoji3][emoji3]
 
Hahaha... I can't do anything with ex.. mahondaw wangu... Kwanza ex atanianzia wapi kuniomba out...
Hahahaah! I know you very welooooo my king mi mwenyewe nikileta zakuleta tu nakuogopajeeeee
Yaishe yaishe my king.. Nakumbuka tu maana yako lol ex= expired khakhaakhaaaaaaaa

Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaauuuu.

Yaishe super dear ssssshhhhhhhhhh [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Mahondaw wa Smart911
 
As a friend si kama ilikuwa date date
You know he is your ex... He knows you in out... Ndiyo maana hata hakukuliza if you would like to sleep or not akaamua kujichukulia maamuizi...

Hakuna kitu kama " just as a friend"...

Kwa hiyo umemtaarifa mchumba wako kuhusu hiyo out na Ex?

Cc: mahondaw
 
Hahahaah! I know you my king mi mwenyewe nikileta zakuleta tu nakuogopajeeeee
Yaishe yaishe my king.. Nakumbuka tu maana yako lol ex= expired khakhaakhaaaaaaaa

Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaauuuu.

Yaishe super dear ssssshhhhhhhhhh [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Mahondaw wa Smart911
Hahaha sawa... [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

I won't say no more super dear...
 
You know he is your ex... He knows you in out... Ndiyo maana hata hakukuliza if you would like to sleep or not akaamua kujichukulia maamuizi...

Hakuna kitu kama " just as a friend"...

Kwa hiyo umemtaarifa mchumba wako kuhusu hiyo out na Ex?

Cc: mahondaw
Santo sana.. Nimebarikiwa zaidi na hii hakuna kitu kama " just a friend "[emoji126] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hallelujah

Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom