Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

dah jamaa sijui anajisikiaje huko aliko, kichwa cha pili hakijawahi kituacha salama, kamakana hadi mkewe? alafu siku ya kqanza baada ya miaka na mikaka,,aaagh katudhalilisha huyu, udhaifu gani huu....mbona aliyekuja kufata mgegedo ajulikana hakufuata alama za nyakati huyu kijana katudhalilisha sana, alijua bado ni koloni lake
 
Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.

Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.

Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Ninacho jua ulimpa mzigo,hapa umekuja kutuchora tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhhhhh mbn habar haijakamilika ,, kuna hatua umeivuka ukarukia hitimisho ....Jamaa alikula mzigo au hakula ...maana unaweza kusema alikuboa hutomtafuta tena kumbe hizo hasira nimatokeo ya kugegedwa ..hahahaha akili zenu wanawake mnazijua wenyewe.
 
Hakuna bwana kwanini niwafiche
 
Back
Top Bottom