General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
sky niko single nwMkewe pia amemkana leo, anasema si wa ndoa ya kanisani, wanaume.
Sent From Ikulu-Magogoni street
sky niko single nwMkewe pia amemkana leo, anasema si wa ndoa ya kanisani, wanaume.
sky niko serious,Mary ameondoka na mimi nimempata Aspirin maisha yasonge
.....yeye alifikiri umempelekea papuchi!Ndo hizo pupa nazozizungumzia,hata kama ndo alikuwa mtu wake wa kwanza mazingira yanabadilika,sio kila mpenzi wakwanza bas akikutana tu na wewe anakuwa tayari kuliwa,kunakuwapo factors nyingi za kuziangalia,alafu a gentleman always takes his time.haina haja ya kuwa na haraka.alafu maswala ya kucheda demu kwenye geto la mshkaji ni mambo wanafanya wavulana na wasichana wadogo,mdada mwenye heshima zake unaanzaje kumpeleka kwenye geto la kuazima.Huu mfumo utakuchelewesha sana mkuu, mleta mada ameshasema ndo mpenz wake wa kwanza.... kwahyo walikuwa hawaend kufanya kitu kigen kias cha kuanza kumtengeneza awe comfortable, kwahyo kumranda siku hyo hyo ilikuwa inawezekana.
alichokosea jamaa ni kitu kidogo sana,
Mnapoachana na mpenz wako kwa kipind kirefu, mkija kukutana tena, kila mtu huwa anajaribu kujiweka juu.... yan kila mtu anaonyesha pride yake, kwahyo kitendo cha kumpeleka gest kilikuwa na tafsiri ya dharau kwa mwanamke, kichwan alianza kujiuliza hiv huyu ananichukuliaje? Akaona ameletewa dharau, lakin jamaa ilibd aombe geto hta la jamaa ake aende akakae na bint huko huku wanakula nyamachoma yao wakiwa ndan, hku jamaa akiwa amejifanya mdooooogo, hapo dogo hasingechomoa.
kisaikolojia, mwanamke mwenyewe alikuwa amejiandaa kuliwa... (japokuwa atabisha).. unakuta alishavaa ile chup yake anayoipenda... ila jamaa kashindwa kutembea kwenye reli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea mkuu hivi wewe baada ya miaka let say 20 unaweza kupasha na yule wa form four D?
Haahaaaa.. tuanzie hapa mkuu, kwanza unapojifanya gentleman, kati ya wanawake mia... tisin wote watakudharau,Ndo hizo pupa nazozizungumzia,hata kama ndo alikuwa mtu wake wa kwanza mazingira yanabadilika,sio kila mpenzi wakwanza bas akikutana tu na wewe anakuwa tayari kuliwa,kunakuwapo factors nyingi za kuziangalia,alafu a gentleman always takes his time.haina haja ya kuwa na haraka.alafu maswala ya kucheda demu kwenye geto la mshkaji ni mambo wanafanya wavulana na wasichana wadogo,mdada mwenye heshima zake unaanzaje kumpeleka kwenye geto la kuazima.
yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?
Haaaa haaaaungekubali akachukue chumba .mkifika ndani umfungie humo utoke na nguo zake zote umuitie global waje wampige picha
siku nyingine asinge dhubutu mpuuzi sanaAlitaka aliyo yabeba akupunguzie weweBaada ya miaka kibao eti tuendeleze tulipoishia.
Kwaiyo UNATOA? HUTOI?Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Kwanini huwa mnaoa?Aseme ukweli umnyime papa?
Nikaribishe pm bhac...Mimi tutakuwa tunawasiliana kusaidiana kimaishayaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?