Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Si ungempa SE? Kwani anachukua? Si anagegeda tu utamu mnapata wote kasha anafunika. Si ajabu sasa umekuwa bomba kuliko wakati mlipokuwa pamoja na pia sasa hivi umeongeza mautundu kwenye sita kwa sita na yeye hali kadhalika kaongeza mautundu. Umeshaliamsha dude hilo ni lazima lifanye juu chini hadi likuvue kyupi kwa mara nyingine tena. Ukiamua kuvua kyupi tuletee mrejesho wa mautundu yenu mapya ya 2017 kwenye kugegedana.
Haiwezekani mkuu, ni kweli labda nimekuwa bomba kuliko enzi zile, siku hizi ninajua Fashion Fair na Imani wakati ule ilikuwa natura beauty. Lakini si unajua mengi mmepishana hata ukimwangalia unawaza na huyu pia unabaki kuguna. The past stays where it belong.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
oh! Now you're talking.

Haiwezekani mkuu, ni kweli labda nimekuwa bomba kuliko enzi zile, siku hizi ninajua Fashion Fair na Imani wakati ule ilikuwa natura beauty. Lakini si unajua mengi mmepishana hata ukimwangalia unawaza na huyu pia unabaki kuguna. The past stays where it belong.
 
Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.

Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.

Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Wewe ampacho hukuelewa ni nin
 
Were ambacho hukuelewa ni non acha uchoyo mama ...peaneni bible yenyewe inaruhusu...ulimwangusha sana jamaa angu
 
Umenikumbusha juzi mtu kanihubiria nna maongezi tukutane tuongee, zaidi ya mwezi nkaona isiwe tabu nikamwambia ntakuwa na muda siku flani ila tukae sehemu ambayo sio baa ilojaa Walevi

Maajabu ya Farao anipigia nikamuuliza ni wapi nikufuate maana siko home kanitajia bonge la lodge na keshalipia. ' nkamuambia tunaendaje kuzungumzia chumbani? Yuko kule kuna kila kitu utakacho utapata mama! Sikupokea simu yake tena. Kesho yake nikamwambia kuna mtu alikuambia mimi ni changudoa? Basi ungetuma hela yangu kabisa Jipu wewe
 
Wanaume bwana!! Na hapo kaoa, ingekuwa hujui kuwa kaoa asingekubali kama kaoa. Sijui kwanini huwa wanazikana ndoa zao, visingizio vyao sasa vinachekesha kwakweli.
 
Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.

Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.

Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Mbona hukukataa ofa ya nyama choma?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?

Hakunaga urafiki wa kawaida kati ya me na ke
 
Back
Top Bottom