Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Umeongopa uliposema ukatka tarme mjin asbuh ukafka sa 1 bado ukalla Kijiji jiran m nakumbka mwaka 2007 ninewah kutembea toka tarime mjini adi nyamongo niktoka sa 4 asbuh kufka sa 10 nikawa nimefika Tena hapo nilkua napmzka njian istoshe nilptia barabara kuu ckupta chocho
 
Ok acha nimalizie, baada ya kuwa nafanya kazi ya kuchunga bila malipo kumbe nyumbani wakuwa wanapeleleza Mimi nilipo! Walisikia nipo Kijiji jirani na siku moja ilikuwa mida ya saa 3 asubuhi alikuja baba mpaka kwenye huo mji. Akawaita wenyeji akaanza kuwalagai kuwa wanidanganye ili anikamate nirudi home. Aisee niliitwa huku nikihojiwa vimaswali vya kitoto Kama fulani yupo nikasema ndiyo. Akaniambia njoo nikwambie Sasa, ila Mimi nilikuwa nichezwa na machare kuwa lazima atakuwa ni mshua kaja kunitafuta

Basi kweli bana nikamuona akiwa akachuchuma mahali ili nisimuone, aisee nilikimbia kama vile nimeona mnyama mkali baba alibaki anasikitika kuwa huyu mtoto ana matatizo gani!? Nilikimbia karibia vijiji 4 hivi mpaka ilipofika jioni ndipo nikaanza kutafuta sehem ya kulala. Basi cku hiyo nikalala kwa Wajaruo dah! Duh Wajaruo siyo watu kabsaaa. Nilikula vrz ila badaye nilikuja kujuta na kutamani nirudi home. Kwa vile Mimi toka utotoni nilikuwa na jeuri, hivyo ule mji wa pale ujaruoni sikukubaliana nao kutokana na Kwanza walikuwa n kabila tofauti na langu na pili walionesha kutokunijali ukilinganisha na pote nikipopita.

Sasa nikaamua kuanza kurudi safari ya kurudi home huki, aisee uchawi upo kabla sijafika nilianza kuhisi Kama sioni vile basi nikapata wasi wasi nikaka njiani kabsa mpaka akaja baba mmoja alipo niona nimelala njiani akaanza kufoka kuwa nahatarisha maisha kwani ningeweza ata kugongwa na baiskel. Basi nikamueleza akanielewa nikasema na kijijini kwetu make nilihisi kuna kitu. Tukaenda nikiwa nimechoka kabsa mpaka tukafika home mida ya saa 9 mchana. Tuliwakuta ndugu zangu wakimenya mihogo baada ya kuniona walishangaa sana huku mama wa kambo akaanza kulia kwani hali yangu ilikuwa siyo shwari.

Basi bana yule mzee akaeleza aliponikuta na Mimi nikiwa naongea kwa sauti ya unyongeee. Mpaka nilipokata roho. Nilikaa nikiwa marehemu kama siku 3 ila cku ya mazishi walikuja walimu wa shule niliyokuwa nasoma kabla sijaacha pa1 na wanafunzi wenzangu. Ndipo mwalimu Oganda alipo kuja kuona marehe mara ya mwisho, aliponiona nikamkonyeza aiseee yule mwalimu alishituka na kusema kuwa sijafa ila kuna mchezo. Basi bana walihairisha mazishi na kukaa kikao cha dharura. Waliafikia kuleta mtaalam na mtalaam kweli kesho yake aliwasili kutoka huko Magu mkoani Mwanza. Alifika akaagiza aletewe mgomba akaletewa make tulikuwa tunalima ndizi kwa wingi.

Basi ule mgomba ulikatwa huku akiongea maneno fulani hivi huku watu wote wakishangaa miujiza baada ya kukata vipande 3 nilitoka ndani ya sanda na kusimama. Ndipo nikaanza kulia huku nikijutia udhurulaji. Nilikaa home mpaka mwaka 2005 ulipoisha nikaingia mwaka 2006 bila ya kuendelea na shule ilipofika mwaka 2006 mwezi wa 8. Nilipelekwa shule nikaanza tena darasa 3. Aisee nilisoma kwa bidii mpaka saivi nipo chuo ila ningejuaga kuwa kutatokea tatizo la ajira niingeendelea na harakati za maisha.

NB: Hii story ni ya kweli na siyo ya kutunga. Imeisha hivyo
Yaani ulikufa lakini bado ulikua unajua yanayoendelea Duniani sio?
 
Umeongopa uliposema ukatka tarme mjin asbuh ukafka sa 1 bado ukalla Kijiji jiran m nakumbka mwaka 2007 ninewah kutembea toka tarime mjini adi nyamongo niktoka sa 4 asbuh kufka sa 10 nikawa nimefika Tena hapo nilkua napmzka njian istoshe nilptia barabara kuu ckupta chocho
Hatua za mtoto na mtu mzina tofauti,,kuna sehemu nikiwa mdogo tulikua tunaenda kucheza,,nikipaona mbali pengine mita 500,.
Baada ya miaka kibao nimerudi hicho kijiji,,hiyo nyumba ipo bado,,lakini kumbe kutoka kwa bibi hadi hapo ni chini ya mita 70 tu.
 
Ok acha nimalizie, baada ya kuwa nafanya kazi ya kuchunga bila malipo kumbe nyumbani wakuwa wanapeleleza Mimi nilipo! Walisikia nipo Kijiji jirani na siku moja ilikuwa mida ya saa 3 asubuhi alikuja baba mpaka kwenye huo mji. Akawaita wenyeji akaanza kuwalagai kuwa wanidanganye ili anikamate nirudi home. Aisee niliitwa huku nikihojiwa vimaswali vya kitoto Kama fulani yupo nikasema ndiyo. Akaniambia njoo nikwambie Sasa, ila Mimi nilikuwa nichezwa na machare kuwa lazima atakuwa ni mshua kaja kunitafuta

Basi kweli bana nikamuona akiwa akachuchuma mahali ili nisimuone, aisee nilikimbia kama vile nimeona mnyama mkali baba alibaki anasikitika kuwa huyu mtoto ana matatizo gani!? Nilikimbia karibia vijiji 4 hivi mpaka ilipofika jioni ndipo nikaanza kutafuta sehem ya kulala. Basi cku hiyo nikalala kwa Wajaruo dah! Duh Wajaruo siyo watu kabsaaa. Nilikula vrz ila badaye nilikuja kujuta na kutamani nirudi home. Kwa vile Mimi toka utotoni nilikuwa na jeuri, hivyo ule mji wa pale ujaruoni sikukubaliana nao kutokana na Kwanza walikuwa n kabila tofauti na langu na pili walionesha kutokunijali ukilinganisha na pote nikipopita.

Sasa nikaamua kuanza kurudi safari ya kurudi home huki, aisee uchawi upo kabla sijafika nilianza kuhisi Kama sioni vile basi nikapata wasi wasi nikaka njiani kabsa mpaka akaja baba mmoja alipo niona nimelala njiani akaanza kufoka kuwa nahatarisha maisha kwani ningeweza ata kugongwa na baiskel. Basi nikamueleza akanielewa nikasema na kijijini kwetu make nilihisi kuna kitu. Tukaenda nikiwa nimechoka kabsa mpaka tukafika home mida ya saa 9 mchana. Tuliwakuta ndugu zangu wakimenya mihogo baada ya kuniona walishangaa sana huku mama wa kambo akaanza kulia kwani hali yangu ilikuwa siyo shwari.

Basi bana yule mzee akaeleza aliponikuta na Mimi nikiwa naongea kwa sauti ya unyongeee. Mpaka nilipokata roho. Nilikaa nikiwa marehemu kama siku 3 ila cku ya mazishi walikuja walimu wa shule niliyokuwa nasoma kabla sijaacha pa1 na wanafunzi wenzangu. Ndipo mwalimu Oganda alipo kuja kuona marehe mara ya mwisho, aliponiona nikamkonyeza aiseee yule mwalimu alishituka na kusema kuwa sijafa ila kuna mchezo. Basi bana walihairisha mazishi na kukaa kikao cha dharura. Waliafikia kuleta mtaalam na mtalaam kweli kesho yake aliwasili kutoka huko Magu mkoani Mwanza. Alifika akaagiza aletewe mgomba akaletewa make tulikuwa tunalima ndizi kwa wingi.

Basi ule mgomba ulikatwa huku akiongea maneno fulani hivi huku watu wote wakishangaa miujiza baada ya kukata vipande 3 nilitoka ndani ya sanda na kusimama. Ndipo nikaanza kulia huku nikijutia udhurulaji. Nilikaa home mpaka mwaka 2005 ulipoisha nikaingia mwaka 2006 bila ya kuendelea na shule ilipofika mwaka 2006 mwezi wa 8. Nilipelekwa shule nikaanza tena darasa 3. Aisee nilisoma kwa bidii mpaka saivi nipo chuo ila ningejuaga kuwa kutatokea tatizo la ajira niingeendelea na harakati za maisha.

NB: Hii story ni ya kweli na siyo ya kutunga. Imeisha hivyo
Mkuu... Nmeisoma hii na nmeipenda maana kuna jambo nimejifunza
 
Upelekwe mirembe wewe Kama huna Cha kupost soma tuu walizo post wenzako mauza uza story ndefu Haina mantiki yeyo umejitungia tuu kwani ufufuke we YESU humu kila mtu na story yake ya maisha anayo humu
 
Back
Top Bottom