Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,001
- 60,071
Ana matatizo,ila anajiongezea matatizo tu. Kupoteza bando kwa kujitungia uongo huku akilalamika hana pesa. Anyway labda kufanya hivi inamfanya ajisikie vizuri,who knows ?!ni kama mtu anayetafuta attention ya matatizo yake na serious a naonekana ana matatizo