Jamaa ni wa TARURA siyo TANROAD?Yes, kutaka kulawitiwa ni jambo la fedheha kwa mwanaume yoyote (isipokuwa mapunga)
Lakini kwa kuwa jamaa kakosa mahali pa kwenda kuutaja uovu wote aliotakatendewa na aliotendewa ni vyema ataje kila kitu wazi...
Kupitia kila atachokitaja, ndipo itaweza kujulikana jinai zote alizotendewa, na ukisoma kwa makini utagundua kuna mtu mmoja tu wa TANROAD ndiye aliyemsababishia nongwa yote hii kwa sababu zao za kudaiana pesa.
Nimeficha kwasababu za kiusalama kwasababu bado wananisakamaKwanini unaficha uonevu na unyama kama huu. Inatakiwa useme una utaje kila baya walilokufanyia ili hao watu wajulikane. Wanakuingiza selo bila kuandikishwa mapokezi. Kiongozi ww una tatizo sana. Ushahidi unao huyo jamaa wa TARURA hao walitaka kukuua.
Kwa Kuwa hayaja kukuta omba Mungu iendelee kua simulizo kwakoKiongozi pamoja na kuwa tuna mapolisi wasiokuwa na maadili lakini hakuna vitendo hivyo kwenye vituo vya Polisi.
Hata magerezani wanaolawitiwa ni kwa hiyari yao wala si kwa kulazimishwa au kuwekwa mtu kati na kufanyiwa kinguvu, si kweli na hakuna kitu kama hicho.
Huu ni ukweliIla hicho kisa alicho andika jamaa kama ni kweli halafu initokee mimi, hao polisi na huyo mtu waniue. Nikitoka mzima watajua WW1 na hata WW2 ilikuwa vita ya kitoto.
Nasema labda waniue, wakiniacha salama hakuna cha nani wala nani ilimradi wote ni binadamu na tunakanyaga ardhi.
Kama ni kweli polisi waache hiyo mambo mara moja.
Pamoja sanaAsante nimekamilisha lakini u bize ndio husababisha
Ya kwako unagawa bure mkuu?Khaaaaaaah kumbe Marinda yana thamani kiasi hicho?
Huyu siyo wa kumpa pole Mkuu maaana ni tapeli. Arudishe pesa waliyokubaliana na mwenzake Mil 20 aone kama wataendelea kumfuata fuata. Vinginevyo anakoelekea ni kupotea mazimaJeshi la polisi Lina mapungufu mengi Sana, wengi hatujatedewa haki, lakini mtu anaeleza yaliyomkuta watu ambao ndio waathirika wanamdhihaki mlalamikaji badala ya kuchangia mawazo ya kulirekebisha. Sasa hivi inaonekana jeshi la polisi Kuna vikundi vya kuwapora fedha wafanyabiashara wa madini na kuwaua, kwa utani tunaofanya hili genge litaimarika sana.Pole Sana mtoa Mada.