Nilikamatwa kama mteja wa makahaba...............

Nilikamatwa kama mteja wa makahaba...............

hii inaweza kuwa kweli

kuna mtu wangu wa karibu alikamatwa usiku kwa uzururaji, baada ya kukaa mahabusu siku 2 kesi ikataka kubadilika iwe ya unyang'anyi wa kutumia silaha.

Ilibidi kuwapoza mapolisi akatoka

halafu wangeenda kujishow show kwenye tv wamekamata jambazi na smg yenye risaxi thelathini ilhali wanajua wamebambikia.....inaudhi sana
 
Mary Nagu kuna kijana amemfunga kisa alikuwa anatembea na mtoto wake na yeye ni masikini akamkanya aache kutembea na mtoto wake hakusikia ndipo alipomkamata na kumfungulia kesi ya ubakaji..

yegella asichojua nagu ni kuwa love conquers all...........................hata jela haifui dafu......
 
Last edited by a moderator:
halafu wangeenda kujishow show kwenye tv wamekamata jambazi na smg yenye risaxi thelathini ilhali wanajua wamebambikia.....inaudhi sana

Kama hatuta.......... BADILI TABIA basi tujue tunakokwenda ni kubaya sana........tena zaidi ya haya......
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni maelezo ya upande mmoja, tusubiri ya upande wa pili pia

HP1 Kwenye mazingira ya namna hii kuna maelezo ya upande mwingine kweli? Au nd'o imetoka hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Mshahara shilingi laki moja kwa mwezi, matumizi milioni mbili na zaidi "recurrent" bila kuhesabia gharama za ujenzi wa majengo yao na ada za shule, bila kusahau nyumba ndogo na magari, ukiona salary slip zao hazina mkono hata mmoja, unategemea wapate wapi hela?

Akili kichwani mwako!
 
MESTOD Kumbuka takukuru walikuwa na mdai kama hayahaya walipoboreshewa masilahi siku hizi wanafyatuliana risasi wenyewe na kutoana roho..........
 
Last edited by a moderator:
Kuna Pub moja hapa Arusha ukiingia tu kwenda kunywa utaambiwa wewe ni mteja wa makahaba sijui kwanini?
 
waambie wadada unaoandamana nao wasivae kikahaba. Samahani kama nimekukwaza.

King'asti Bila ya samahani...hivi hata kama wametia uninja nao ni makahaba?
 
Last edited by a moderator:
dah atasota mahabusu mbaya huyo na kama hakuwa na uwezo wa kitu kidogo ndo hivyo tena Rutashubanyuma

Mr Rocky Kwanza za mwaka mpya best wangu ulipotelea wapi...............................back to the topic.....labda tumpitishie mchango wa dhamana........angalau atoke nje kidogo......
 
Last edited by a moderator:
Kuna Pub moja hapa Arusha ukiingia tu kwenda kunywa utaambiwa wewe ni mteja wa makahaba sijui kwanini?

Ndallo acha uchoyo ni pub ipi hiyo nisije yakanikuta haya..........
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky Kwanza za mwaka mpya best wangu ulipotelea wapi...............................back to the topic.....labda tumpitishie mchango wa dhamana........angalau atoke nje kidogo......

Nipo mkuu Rutashubanyuma mihangaiko ya maisha na majukumu ya familia zaidi. Asante sana mkuu na heri ya mwaka mpya ndugu yangu naamini Mungu amekulinda na umevuka salama
Dah may be uchangwe wa kubadilisha mashtaka yake yatoke huko kwenye unyang'anyi wa kutumia silaha mpaka may be kosa dogo lenye dhamana maana hilo la unyang'anyi halina mdhamana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom