Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nipo mkuu Rutashubanyuma mihangaiko ya maisha na majukumu ya familia zaidi. Asante sana mkuu na heri ya mwaka mpya ndugu yangu naamini Mungu amekulinda na umevuka salama
Dah may be uchangwe wa kubadilisha mashtaka yake yatoke huko kwenye unyang'anyi wa kutumia silaha mpaka may be kosa dogo lenye dhamana maana hilo la unyang'anyi halina mdhamana mkuu
Rutashubanyuma kesi nyingi ambazo watu wanazo huko mahakamani ni utata mtupu maana nyingi ni za kubambikiwa na visa na wengi wanasota kwa makosa ambayo hata hawakuyafanya
Nenda mahakamani mkuu usikilize watu wanavyolalamika kuhusu kesi walizo nazo ni maajabu
Sio rahisi mtuhumiwa kukiri mahakamani hasa katika kesi za unyang'anyi wa kutumia silaha.
Halafu inaonekana alishawahi kufungwa ila akatoka kwa kuonekana hana hatia kama alivyokili mwenyewe. Kwa hiyo anabinu za kupangua kesi. All in all, kesi ni taratibu/procedures.
LINCOLINMTZA iwe siyo kesi ya kubambikiziwa........................hiyo inavunja na kukata maini.............
Rutashubanyuma sijahukumu bado, lakini nataka kubalance ushawishi wa pande zote. Huwezi jua amebambikiwa kesi au anawabambikizia waliomkatamata. Soma signature yangu mkubwa. Halafu kuupata ukweli, inahitaji kuutafuta pande zote.