aah, vipi hakutaka uilipe cm yake?Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Aisee kweli unadharau sana hata kile kipigo sio simu,simu ilikuwa chanzo tu Ila dharau ndo tabia uliyonayo eti mburula duuHata sio wewe.... Yule mburula hawezi kuijua jamiiforum labda facebook
Duuh alikuwa falaa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Yani hasara yote hii kweli duuh..Nini simu? Mimi nishavunjiwa TV inchi 52, laptop, kabati la vyombo na vyombo vyake, sofa lether zilichanwa chanwa na wembe, sigth mirrors, nguo na viatu kuchomwa Moto na hasala luluki. Kisa mchumba alikuta alikuta kitenge magetoni. Akapaniki Sana. Nilikuwa nimetoka kidogo kumsindikiza sister alikuja kunitembelea ila yeye sikumwambia. Kurudi nikakuta geto limekuwa torabora. Kumuuliza ananijia juu na kunikwida na kuanza kulalamika nimefikia hatua ya kuingizwa made zangu ndani. Kisa kitenge.
Nikamwambia subiri. Nikampigia sista akarudi maana hakufika mbali. Nikamwambia umesahau kitenge chako na ndio kimeleta dhahma yote hii. Akapigwa butwaa. Nilichofanya nikamwambia yule mchumba ingia kwenye ndinga tukaongee. Nikaenda nae mpka kwao nikamshusha na kumwambia asinitafute Tena. Hakukubali ila baada ya miezi kadhaa akakubali matokeo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee so ukamlipishaaMimi alinikuta na chati na mwanachuo mwenzangu katika pulukushani kioo kikavia wino aisee hakuamini nilimbadilikia hadi akanunua sm yangu kesho yake tu nikaipata
Aisee Aisee kweli unadharau sana hata kile kipigo sio simu,simu ilikuwa chanzo tu Ila dharau ndo tabia uliyonayo eti mburula duu
aah, vipi hakutaka uilipe cm yake?
Abeee darling.... Unanisusa sana sijui nimekukosea nini kipenzi
Sijakususa mpenzi, mambo yameingiliana sana..
Mara nyingi nakuwa sichungulii humu...
Upo mjini? Mi nishatia makazi hapa...
Ni wewe tu.
Pamoja sana usenge gani wa kuvunja simu yangu lazima ule kipondoKwa kweli. Mimi mtu hawezi kunifanyia hivi akabaki salama
Sipo mjini babe.... Hapo mie sipataki
Jamani mie nipo umakondeni huku [emoji29][emoji29][emoji29]Upo wap mpenzi
Jamani mie nipo umakondeni huku [emoji29][emoji29][emoji29]
Hahahahahhaha baby jamaniUnafanya nn huko ww?
Mtoto mzuri km ww wapaswa kukaa mjin
Hasira hasara, watu wanapaswa kujifunza kucontrol hasira zao.Nini simu? Mimi nishavunjiwa TV inchi 52, laptop, kabati la vyombo na vyombo vyake, sofa lether zilichanwa chanwa na wembe, sigth mirrors, nguo na viatu kuchomwa Moto na hasala luluki. Kisa mchumba alikuta alikuta kitenge magetoni. Akapaniki Sana. Nilikuwa nimetoka kidogo kumsindikiza sister alikuja kunitembelea ila yeye sikumwambia. Kurudi nikakuta geto limekuwa torabora. Kumuuliza ananijia juu na kunikwida na kuanza kulalamika nimefikia hatua ya kuingizwa made zangu ndani. Kisa kitenge.
Nikamwambia subiri. Nikampigia sista akarudi maana hakufika mbali. Nikamwambia umesahau kitenge chako na ndio kimeleta dhahma yote hii. Akapigwa butwaa. Nilichofanya nikamwambia yule mchumba ingia kwenye ndinga tukaongee. Nikaenda nae mpka kwao nikamshusha na kumwambia asinitafute Tena. Hakukubali ila baada ya miezi kadhaa akakubali matokeo.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utamfanyaje?Kwa kweli. Mimi mtu hawezi kunifanyia hivi akabaki salama