Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,734
😂 Nisimkamate...tutabadilishana majengo ya serikali...anyway kabda hujamfanyia mtu vurugu jifikirie kwanza...kuna watu si wakuwafanyia vuruguWewe udeserve machozi ya mwanamke hata kidogo bora iwe mbwai tu tena si simu tu upate ataekufanya uanze upya kwenye kila kitu ila afanye wakati haupo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Nisimkamate...tutabadilishana majengo ya serikali...anyway kabda hujamfanyia mtu vurugu jifikirie kwanza...kuna watu si wakuwafanyia vurugu
Dadeki...naweza ua..hakuna kitu kinauma kama ugundue mwanamke wako anapigwa dudu...nafikiri ukitaka kumkomoa mwanaume hakikisha unapigwa dudu na anafahamu...hakuna kidume anayeweza vumilia hii lazima alie mchana kweupeEti lia ntakuonea huruma hahahaa funny...if u cheat we cheat tu kwa raha zako wala sifanyi fujo namie ukijua napigwa dudu la yuyuu utulie hivo hivo
Hahaah sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila lakher mkuu
Hahahaaaa unaona mchezo ulivo mtamu sasa???!!haiwezekani uniumize afu mi niumize simu yako lazma nkuumize wewe tu....tena nikikufuma heri ujishushe unibebishe unidanganye na vi outing plus vihela ukinitunia ndio unaharibuDadeki...naweza ua..hakuna kitu kinauma kama ugundue mwanamke wako anapigwa dudu...nafikiri ukitaka kumkomoa mwanaume hakikisha unapigwa dudu na anafahamu...hakuna kidume anayeweza vumilia hii lazima alie mchana kweupe
Dadeki...naweza ua..hakuna kitu kinauma kama ugundue mwanamke wako anapigwa dudu...nafikiri ukitaka kumkomoa mwanaume hakikisha unapigwa dudu na anafahamu...hakuna kidume anayeweza vumilia hii lazima alie mchana kweupe
Naona ulipigwa ukachakaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] Uaije ukawa ndo wewe x wangu Mana ili tukio mbona Kama linafanana kabisaHaahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Hata sio wewe.... Yule mburula hawezi kuijua jamiiforum labda facebookNaona ulipigwa ukachakaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] Uaije ukawa ndo wewe x wangu Mana ili tukio mbona Kama linafanana kabisa
Kweli kwa mwanamke mwenye jeuri hiyo ya kwenda kuchezea dudu la yuyuu bora tu ujishushe uwe mdogo...but kwa mimi nikigundua mwanamke wangu niki cheat na yeye atalipiza fasta natembea mbele hii kitu kwa sisi wanaume inaumiza sanaa huwezi vumiliaHahahaaaa unaona mchezo ulivo mtamu sasa???!!haiwezekani uniumize afu mi niumize simu yako lazma nkuumize wewe tu....tena nikikufuma heri ujishushe unibebishe unidanganye na vi outing plus vihela ukinitunia ndio unaharibu
Huyu alikua muuwaji kwa kipigo hichi ingekua ticket yangu
Tuliachana baada ya hiko kipigo
Ukitaka kumshinda mwanaume ajue kabisa kuwa akichepuka basi na wewe unaenda kulipa kisasi kwa kuchepuka....nakuhakikishia hata awe kidume vipi lazima akuogope..hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia haya maumivu...but mwanamke kuchepuka ni kuyaaibisha mahusiano mkuu 😂 😂 ....mwanaume tu ndo anaruhusiwa kuchepukaHa ha ha kumbe uvumilivu 0+ dawa ni hii ukipiga dudu nje na demu wako akapigwe miti na masela wengine
Unadhani kutembea mbele ni rahisi vivo mzee baba!!! Labda kwa kidem tu unachosuuzia rungu ila sio rahisi hivoKweli kwa mwanamke mwenye jeuri hiyo ya kwenda kuchezea dudu la yuyuu bora tu ujishushe uwe mdogo...but kwa mimi nikigundua mwanamke wangu niki cheat na yeye atalipiza fasta natembea mbele hii kitu kwa sisi wanaume inaumiza sanaa huwezi vumilia
[emoji1] [emoji3] pole kwa kipigo heavy mkuuHata sio wewe.... Yule mburula hawezi kuijua jamiiforum labda facebook
Ukitaka kumshinda mwanaume ajue kabisa kuwa akichepuka basi na wewe unaenda kulipa kisasi kwa kuchepuka....nakuhakikishia hata awe kidume vipi lazima akuogope..hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia haya maumivu...but mwanamke kuchepuka ni kuyaaibisha mahusiano mkuu [emoji23] [emoji23] ....mwanaume tu ndo anaruhusiwa kuchepuka
Nimepoa mwenzangu[emoji1] [emoji3] pole kwa kipigo heavy mkuu
Kuna kitu kinaitwa jela mkuuAlimpa adhabu kali sana. Mimi ningempiga risasi ya kichwa tu ili asivunjike mkono. Simple!