Mkuu history ni ya ukweli,mjomba kawekwa selo siku nne kwa sasa mtoto yuko ustawi wa jamii.kwani mtoto aliendeleza visa alipotoka ndio dawati likaamuru mtoto asikae na mjomba make uhamisho wa shule utakapo kamilika na arudishwe kwao njombe.Una mahusiano yapi na Afande huyo, hadi kukupatia namba yake...!!? Au umemdanganya unawasiliana na WAANDISHI wa Habari, ili atoe USHUHUDA...?!
Muulize kwanza yeye ndie msemaji wa Jeshi la Polisi...?
Punguza kutoa POVU mleta Mada...Jasho na Mate yanakutoka kama JAMES una ugonvi nae.
Nenda nyumbani UKAPUMZIKE, waache Polisi wafanye kazi yao...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani.Hata Huyo Afande wakati anasimulia akasema jani kweli Sio wote wanaofungwa wametendaa.Ila kilichomsaidiaa mjomba mpaka kuonewa Huruma.Ni kulia mfululizooo Bila kukoma.Mungu akamwona akamsaidia
Mtoto anamiaka 11 anasoma darasa la pool mavurunza shule ya msingi. Ila ni mfupi na he aliwaeleza polisi ana miaka nane.Jf sometimes sijui akili nyingi sana ama vipi.Rudia kusoma nisingehua ana miaka mingapi ndo mana nikasema miaka 6,au 7,Na pia 7 nikarekebisha la Kwanza.Hujaelewa wapi ndugu???
Mguu mimi mwenyewe naifahamu hii habari hata nut anataka no.za mjomba nitampatia ili aongee New.lakini mjomba akiniruhusu kufanya hivyo.Tayari Nimetoka no.Watakuja Na mrejesho.Yoyote anayetaka aje Pm.hii Ni story ya kweli.
Kapitiwa tu.UKIWA MUONGO SHARTI UWE NA KUMBUKUMBU huyu mleta mada anataka kutu maanisha mtoto alianza darasa la kwanza na mwaka 1?!!!
kuna msemo wa wahenga kuwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbuNi story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Kweli mkuukuna msemo wa wahenga kuwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
...ati??..aliendeleza visa?Mkuu history ni ya ukweli,mjomba kawekwa selo siku nne kwa sasa mtoto yuko ustawi wa jamii.kwani mtoto aliendeleza visa alipotoka ndio dawati likaamuru mtoto asikae na mjomba make uhamisho wa shule utakapo kamilika na arudishwe kwao njombe.
hahahahahahahaKuna MTU aliwahi kusema kuwa mleta mada ni roboti
Kweli Nimeamini JF Ni Taifa kubwaaa.Na Aksante sana kunisaidia.Kuna MTU humu anaitwa Babati Sijui Nani..Wamebishaaaa wanabisha Na kupotosha juu.Haya nikaenda Pm nikawapa Mpaka no.Wanaogopa kupiga Eti kwa usalama Wao.Aiseee Tuna safari ndefu.Hivi katika akili ya kawaida nidanganye kisa hicho kwa faida ya Nani.Ndugu Yangu popote ulipo.Ubarikiwe.Kweli Mimi nilikaona hako katoto kanahuzunishaa.Na pia nawaza future yake kwa umri wake Na mambo yaliyomtokea.Halafu Na mjomba anamrudiaha kijijini hana wazazi.Mungu amsaidie mtoto.Walimwengu wamemkuza mtoto Na Wala Hajui alitendaloMtoto anamiaka 11 anasoma darasa la pool mavurunza shule ya msingi. Ila ni mfupi na he aliwaeleza polisi ana miaka nane.
Poa mkuuCc
Sr Erica..
Acha ibishi bwana.Au nije kukushika mkono nikupeleke Shule msingi mavurunza anaposoma mtoto??Haya Kuna MTU katokezea anayefahamu kisa Mpaka mjomba MTU Leo mmeumbuka sana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haya mkuuNashukuru kwa kukubari
NotedWe Ni muungwana Aksante.
Mmnh.Kivipi.Kinachohitajika Ni ushahidi wa haki.kama kupima mamii ya mhusika Na yaliyokutwa huko.Sio mjomba amenibaka' Tia mjomba ndani.Sasa kwa kisa hiki .Kama Si jitihada za mjomba kulia Bila kukoma ingekuwajeNdio.maana mi nasema hii sheria ya kitufunga miaka 30 ni ya uonevu hawa watoto ni wakubwa na wanajua wanachokifanya.
Enyi wabunge please embu ondoeni hii sheria onevu