kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
Majambazi wengi nchi hii wamezaliwa huko...
Wewe nyanya, Hii ndo Moshi wachaga wanatafuta sana pesa kuliko makabila mengine yote kuanzia mtoto hadi mzee. Suala la maandalizi nyumbani wanajuana wao namna ya kufanya lakini bora pesa ipatikane kwanza. Mchaga akipata ajali cha kwanza ni kuangalia kama pesa aliyokuwanayo ipo ama hapana maumivu ama majeraha ni baadae. So all in all wanatanguliza money first than anything else. Thus, that's their habit from the beginning. Hata wale wanaojiuza usiku chukua mmoja halafu usimlipe uone cha moto
Sehemu za kula noah kuna kwa lyimo msaranga,toroka uje kiboriloni,ma hot poa katibu na nmb mandela,ushirika wa neema karibu na chuo kikuu cha mwenge,kwa clara iko dar street
Nakisia baba mkwe kazi yake kumpooza mkwe wake,pindi anapomkumbuka mme wake,
Eti mangi!
Hahaaa,, mkuu umesahau Masikio Bar njia panda segera kuelekea KCMC
Yeah....ni kweli mkuu.Ukirudi kwenu naomba uniletee nyama ya punda na housegirl..!
Nyama ya punda ni poa kuliko kitimoto ya kiborloni mangi,siku hakuna ma housegirl;kuna sekondari kila kata.
Unaonekana unahasira babako kamjaza mkeo mimba?
kumbusha mm river nile pale,liko sebene moja jeupe kama noah, linapatkan pale daily,anaelijua jina tukumbushane,nshalipada lile siku moja niliodhuru moshi mjini.
Majambazi wengi nchi hii wamezaliwa huko...
Mmesahau mapipa KCMC
haahaha najua ulitaka uwakute la liga au malindi wale wanasaka ela kokote iliko yaan hata kama darini,Nyanya mbichi ni matumaini yangu wewe sio bazazi nikutume ukutane na mdogo wangu? au ushaondoka uko
Bora umetembea mkuu,unashangaa nchi hii mpaka mtu anafikisha miaka 50 hana mkoa mwingine anaoufahamu zaidi ya kwao
Siku zote naamini ukitembea unapata kuona na kujifunza zaidi lakini pia kuifahamu vizuri nchi yako siyo lazima kila kitu wewe uambiwe
hahahahah mpaka unangangania???sikuamini
bado hujatembea wanawake wa hivo si moshi tu Arusha wapo kibao wanaofanya hizo biashara na hata Mwanza wapo wengi tu (na walio wengi si wachaga)
masai dada haaaaa haaaaaa ni nimeshaondoka i hope nitarudi tena siku moja panapo majaliwa ,kweli dada mimi sio bazaz