Wanangu sijawafundisha kuwa wake bora nimewafundisha kupambana na maisha.

MIRIMA

Member
Jul 17, 2023
97
293
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda mwingine nakuwa nurse au pharmacian ...sasa nitafanyaje na kijiwe ndio kiliniweka mjini nimetoka chuo lazima niwe multipurpose kwenye vitengo vyote vya kijiwe ili mradi uwe medical personel.

Kuna harusi ulifanyika mjini kwa hiyo ndugu zake walikuja kutoka huko kijijini na wengine walikuwa hapa hapa ,wakamuliza tu kama utani vile "KWA NINI HUTAKI KUWAOZESHA WANAO ? .AKAWAJIBU WANANGU SIJAWAFUNDISHA KUWA WAKE BORA KWA WATU NIMEWAFUNDISHA UPENDO, KUPAMBANA NA SIO TEGEMEZI "...Kauli yake ilileta utata na wale jamaa kama hawakumwelewa na kulikuwa na wale ndugu wanao amini binti akishakua anatakiwa aolewe ...kwa ujumla hawakuelewana na boss wangu kuhusu wanae.

Badae baada ya kuona kazi imepungua nikamkumbusha boss wangu kuhusu kauli yake alikuwa anamanisha au ni story tu. Boss akaniambia "hapendi kuona wanae wanateseka kwa hiyo aliwazoesha kujituma na hata ikitokea wemezalishwa huko anamini wanakuwa na uwezo wa kuwahudumia watoto wao".

Boss wangu ana watoto wakike watatu ,wote wana degree kwa sasa tangu wanasoma kila wakitoka shule wanaenda kuuza dukani ..kwa hiyo walizoeshwa biashara .

Leo katika pita pita zangu mjini nikiwa nachungulia maduka ya hardware moja baada ya nyingine nikiwa nabargain ili nijue normal price nikakutana na binti wa aliyekuwa boss wangu ndio mwenye biashara...akaniita kwa jina tukasalimiana na kukumbushana story za nyuma na jinsi boss wangu (baba yao) alivyo wapigania wawe wapambanaji. Ukweli biashara yake ni kubwa na dada zake nao wanabiashara alivyoniambia .

Bahati mbaya au nzuri boss wangu alishatangulia mbele ya haki miaka mitatu nyuma na nimemwambia kesho anipereke nikaone alipopumzika boss wangu.

Boss wangu aliachwa na wanae baada ya mke wake kufariki mtoto wa mwisho alikuwa la tano kipindi hicho..alioa baada ya mke wake kufariki lakini kwa maelezo yake waliachana baada ya huyo mke kutesa wanae akaanza kuwalea peke yake na dada wa kazi.Kwa muda mfupi niliyo kaa nae alikuwa anapenda wanae wajitegemee kivyao bila kutegemea mwanaume na alikuwa anawasisitiza mara kwa mara.

"Unajua Mirima Dunia ya sasa hivi usipowatengeneza watoto wakike kujitegemea tegemea watateshwa,watazalishwa, na bado watakuwa maskini pamoja na watoto wao ,ni bora wazalishwe lakini wawe na uwezo wa kujitegemea kimaisha mimi siamini katika mwanamke kuolewa lakini simkatazi mwanangu kuolewa kikubwa sitaki ateseke huko ndio maana wanangu nimewajengea biashara wakiwa wadogo na wakaipenda." Ni baadhi ya maneno wa marehemu boss wangu kipindi nafanya kazi kijiweni kwake.

Ukweli ni kwamba watoto wa boss wangu hawajaolewa wote, lakini wana watoto kasoro wa mwisho.sijajua kama walimwelewa maneno ya baba yao kuhusu kutothamini ndoa..hapo sijui.. Ki Uchumi wako vizuri wanamiliki biashara mbali mbali hapa mjini ,wameendeleza miradi ya baba yao na hata kijiwe niliyefanyia kazi sasa hivi ni Dispensary na ina maboresho makubwa mtoto wa mwisho ndio msimamizi .

Nimebaki najiuliza hapa nilipo ,nina watoto wawili wa kike under 4yrs all of them, nikifa mimi na Dunia ilivyo watabaki salama kweli wakati kuna uzi wa KULA KIMASIARA ? watajitegemea kweli ? au ndio watabaki kwa waulimwengu ? au kuwahi kuolewa..

Pumzika kwa amani boss wangu japo ulitoka familia maskini lakini ulipigana kuwajengea watoto wako wakike uwezo wa kiuchumi,kifikra na kielimu ,wewe ni miongoni mwa wababa walioacha watoto wao wakike na msingini imara kutokana na uwezo wako.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Pumzika kwa amani boss wangu japo ulitoka familia maskini lakini ulipigana kuwajengea watoto wako wakike uwezo wa kiuchumi,kifira na kielimu ,wewe ni miongoni mwa wababa walioacha watoto wao wakike na msingini imara kutokana na uwezo wako.

Haiwezekani kuwafundisha kupambana na maisha ya kujitegemea huku ukiwapa mawaidha mawil matatu ya kimaadili at the same time?
 
Maono ya late Boss wako ni mazuri.

Ila wewe ukitaka kuyafuata ongezea na upande mwingine wa shilingi alioukataa Boss wako.

Kila jambo lina faida na hasara!
 
Mafundisho yote ya kupambana na maisha na kuwa mke bora yanaweza kwenda sambamba kwenye malezi sioni kama kuna ulazima wa kumfundisha binti kimoja na kuacha kingine
 
Kuna harusi ulifanyika mjini kwa hiyo ndugu zake walikuja kutoka huko kijijini na wengine walikuwa hapa hapa ,wakamuliza tu kama utani vile "KWA NINI HUTAKI KUWAOZESHA WANAO ? .AKAWAJIBU WANANGU SIJAWAFUNDISHA KUWA WAKE BORA KWA WATU NIMEWAFUNDISHA UPENDO, KUPAMBANA NA SIO TEGEMEZI "...Kauli yake ilileta utata na wale jamaa kama hawakumwelewa na kulikuwa na wale ndugu wanao amini binti akishakua anatakiwa aolewe ...kwa ujumla hawakuelewana na boss wangu kuhusu wanae.
Hahahaa kauli za kujifariji hizi.

Kupambana kilamtu anapambana hakuna anayelala wala kulishwa.
 
Back
Top Bottom