Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Habari zenu wadau.!!
Kwa uwezo wa mwenyezimu katikati ya wiki inayoishia leo nilitembelea mjini Moshi.Ni mara ya kwanza kwangu.
Licha ya mji kujitahidi kuwa msafi na hali nzuri ya hewa,kuna kubwa moja.
NIMEONA WAMAMA WANAJISHUGHULISHA SANA KATIKA KUFANYA BIASHARA HUSUSANI DSM NA MAENEO MENGINE ZINAONEKANA NI KWA AJILI YACWANAUME TU.
mfano;biashara ya kuuza nguo kama vile mashati na suruali za akina baba kuuza viatu vya wababa na huwa wanatembea na brush za kun'garishia.
NIKAJIULIZA SWALI MOJA KAMA MMAMA ANAFANYA BIASHARA YA UMACHINGA HADI SAA 12 jioni nani sasa anafanya maandalizi kule nyumbani ??
All in all nawapongeza sana tofauti na miji mengine ambayo wanawake wanachagua kazi.