Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

eh eh sasa braza mamamkwe si kausikiliza utupu wa mwanae ...kidini hairuhusiwi..ila nini wale tu aisee maisha yenyewe yashabana...af inaonesha mama mkwe zako wadogo sisi wengine mama mkwe mbibi hadi unamuonea aibu
 
ha ha ha.. ndugu yangu mimi nina elimu ya kitaa tu ... sisi ni wale ambao miaka ile tlifaulu darasa la saba tukakatwa majina. miaka ya 80s

Hiv gudume uwa nawaza unafananiaje ? Yaan akili zako ni za kiwango cha PhD ya Harvard
 
ha ha ha.. ndugu yangu mimi nina elimu ya kitaa tu ... sisi ni wale ambao miaka ile tulifaulu darasa la saba tukakatwa majina. miaka ya 80s

Hiv gudume uwa nawaza unafananiaje ? Yaan akili zako ni za kiwango cha PhD ya Harvard
 
Nashukuru mwenyezi Mungu kwakunipa mume anaeheshimu familia yangu na Inshallah azidi kumuepusha na fikra chafu.
 
Call him Gudume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ungekuwa na mume wa hivyo dada hata hapa usingesema kitu.... wewe acha sisi tunamuelewa muandishi. wwe tafuta mume wa ndoto zako. na kama ungekuwa naye haya uliyoandika usingeandika au kama unaye basi si vile unavyotaka kujinadi.

Nashukuru mwenyezi Mungu kwakunipa mume anaeheshimu familia yangu na Inshallah azidi kumuepusha na fikra chafu.
 
ungekuwa na mume hata hapa usingesema kitu .... ila inshallah unaweza kuja kupata mume.

Back
Top Bottom