Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?

1.POLE, HUYO KESHAMEGWA SASA NJE SASA HANA UHAKIKA KWENYE MECHI ZILE NI NANI HASA ALIFUNGA BAO WEWE AU JAMAA?.....anataka awe na amani.Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?
Maelezo haya sio kamili yaweke vizuri ili ijulikane wazi wewe ulitaka kusema nini. Vinginevyo Itabidi watu wajaribu kufikiria nini hasa ulichotaka kusema ili weweze kukupatia mchango mzuri wa mawazo.Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?
Wanaume wengine bwana kama hamuaminiani kwa nini mnakaa pamoja!
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?
1.POLE, HUYO KESHAMEGWA SASA NJE SASA HANA UHAKIKA KWENYE MECHI ZILE NI NANI HASA ALIFUNGA BAO WEWE AU JAMAA?.....anataka awe na amani.
2.ANAONA UNAMSHUPALIA KITU CHA KIJINGA KISICHO NA MSINGI,BORA MKAPIME IJULIKANE MOJA KUWA HAJAIBA mtoto ni wako HIVYO.....AWE na amani
3.ANAJUA HUTAENDA KUPIMA KUTOKANA NA MLOLONGO,HIVYO ANAKUTEGA ILI UKATE TAMAA UBADILI MWELEKEO.
FIKIRI KWA MAKINI KATI YA HAYO MATATU MOJA NI SAHIHI.