Nilichokoza, sasa sijui nifanyeje....!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?
 
yaani ina maana ulikuwa unataka kusemaje?
 
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?

Natamani nikuelewe lakini nashindwa.........
 
sijakuelewa ulimtishia ili iweje au unahisi si mtoto wako? umelikoroga hilo lazima ulinywe halafu kuna msemo kitanda akizai haramu utakufa kwa presha bure na kumbuka ukimchunguza sana kuku humli
 
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?
1.POLE, HUYO KESHAMEGWA SASA NJE SASA HANA UHAKIKA KWENYE MECHI ZILE NI NANI HASA ALIFUNGA BAO WEWE AU JAMAA?.....anataka awe na amani.
2.ANAONA UNAMSHUPALIA KITU CHA KIJINGA KISICHO NA MSINGI,BORA MKAPIME IJULIKANE MOJA KUWA HAJAIBA mtoto ni wako HIVYO.....AWE na amani
3.ANAJUA HUTAENDA KUPIMA KUTOKANA NA MLOLONGO,HIVYO ANAKUTEGA ILI UKATE TAMAA UBADILI MWELEKEO.
FIKIRI KWA MAKINI KATI YA HAYO MATATU MOJA NI SAHIHI.
 
Maelezo haya sio kamili yaweke vizuri ili ijulikane wazi wewe ulitaka kusema nini. Vinginevyo Itabidi watu wajaribu kufikiria nini hasa ulichotaka kusema ili weweze kukupatia mchango mzuri wa mawazo.
 
Kama kuna wengine wameelewa basi mi nina mtindio wa ubongo.
 
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?

Kaka umeshakosea...ulichotakiwa kufanya nikufanya hilo suala kijasusi....yaani bila kumshirikisha kwasababu ni rahisi kupata sample za nywele za mtoto ambazo ungeweza kufanya hiyo test na kujiridhisha....coz sasa ameshajua humuamini.....vyovyote majibu yatakayotoka luv yake kwako imeshuka sana...so apologise mwambie ni ushauri tu wa rafiki ulikuponza lakini huna nia hiyo...then unafanya kimyakimya ....upo...
 
Wewe ndiye mwenye matatizo kwani yaonekana humwamini mke wako. Na yeye baada ya kutambua hilo anaona afadhali akuhakikishie kwamba huyo mtoto ni wako ndiyo maana anakusisitizia muende mkampime mtoto. Ana uhakika kwamba huyo mtoto ni wako tu ndiyo maana anasisitiza. Nenda! Unasubiri nini?! Si wewe umeyataka ya vipimo!
 
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?

ila wewe nadhani ni msaliti wa ndoa yako kwanini humwamini mkeo? kama wewe ni mwizi siku zote unakuwa ukiwaza kuibiwa tu...Pole
 
Pamoja na complication zilizopo huna budi kufanya hivyo vipimo for her sake and yours as well. Hata utani huwa hautokei tu hivihivi(the same mzaha wako unasababu ambayo wewe unaijua).
 
1.POLE, HUYO KESHAMEGWA SASA NJE SASA HANA UHAKIKA KWENYE MECHI ZILE NI NANI HASA ALIFUNGA BAO WEWE AU JAMAA?.....anataka awe na amani.
2.ANAONA UNAMSHUPALIA KITU CHA KIJINGA KISICHO NA MSINGI,BORA MKAPIME IJULIKANE MOJA KUWA HAJAIBA mtoto ni wako HIVYO.....AWE na amani
3.ANAJUA HUTAENDA KUPIMA KUTOKANA NA MLOLONGO,HIVYO ANAKUTEGA ILI UKATE TAMAA UBADILI MWELEKEO.
FIKIRI KWA MAKINI KATI YA HAYO MATATU MOJA NI SAHIHI.

kwanini umekimbilia hapo kwenye hilo neno? sio rahic kama unavyofikri kumwambia tu mkeo eti tukapime DNA, hata ningekuwa mie ningekacrika/chukia, hiyo ishu mnatakiwa mkae chini muiongelee sio kumropokea tu mwenzio ki juu juu.
 
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni kweli anataka akae na amani? Nifanyeje, hasa ukuzingatia kuwa kwa sasa kupima DNA ni mlolongo mrefu, tena ulio na complications nyingi?

Yani huyo mkeo mpole sana, ningekua mm nahama na rum, how come unaanza kuwaza mwana si wako? Lazima tukapime sikuhiyohiyo ulianzisha mambo ya DNA.. sikubali hata kidogo kuishi na mtu asiyeniamini kiasi hicho. Inaelekea una mtoto wa nje tena wa ndoa ya mtu ndo maana ukawaza hayo
 
Kwa vile wewe ndiye uliyechokoza na pia huna imani na huyo mtoto basi hiyo kitu itakusumbua maishani kwako. Afadhali ujue moja tu. Nenda kapime DNA hata bila rdhaa yake ili uondoe hilo doa. Ikionekana kuwa sio wako utaumia sana lakini utamudu maumuvu kwa muda. Nenda kapime la sivyo that bad feeling wil haunt you for the rest your life
 
Watu hatujui kuoa si kwa kujaribisha, its for better or for worse .... na muda mwingine tujifunze kuishi kwa kumtegemea Mungu na kuenjoy maisha matakatifu life is too short to take a DNA test maana waweza hata kujiwahisha mbinguni kabla ya siku zako
 
Ukivua nguo lazima uoge. Kama uliBIP, Mkeo kapiga sasa pokea. Vitu vingine havinaga utani Bro.
 
The thing is: Kitendo cha kumwambia tu kuwa unataka kwenda kupima DNA, kwa mtu mwelewa(kama yeye), ni ishara kubwa kumweleza kuwa una MASHAKA nae!...Na kwa mwanamke aliye makini, hiyo inatosha sana kumkosesha amani, na suluhu itakayoonekana ya haraka ni kwenda kumaliza uzia huo, na kupima!..Ila nadhani anajiamini sana kuwa hajawahi kuwa na tabia mbaya, ndo maana anataka uonekane ni mpayukaji.Next tym usifanye hivyo kwa mwanamke ambaye yuko too sensitive!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom