Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,288
What is Life?
Maisha ni mchezo mmoja ambao unachanganya sana.
Huwa najiuliza hili swali na najua kuna baadhi ya watu washawahi jiuliza: Hivi uishi maisha gani ili ikifika uko mzee useme huna majuto yeyote kwa kuwa you lived your whole.
Hii habari ni njema kwa vijana walio below 30s maana wako kwenye their “PRIME” bado wanacheza mchezo wa maisha wakiwa na nguvu nyingi.
Katika pita za hapa na pale nmegundua kwenye grand scheme kuwa mali na pesa sio mwisho wa furaha (japo hautakiwi kusema hivi mpaka uwe navyo).
Pesa inaleta sense of security ila sio fulfillment, Je ni nini kinacholeta amani ya kudumu? eti!..niambie hapa chini kwenye comments.
Hii inatokea hata kwenye malengo, unafurahi sana baada ya kufikia ndoto yako lakini masaa kadhaa baadae unakuwa hauelewi tena what’s next.
Unabaki na maswali “Nilijitoa kwa ajili ya hii kitu usiku na mchana mbona sasa sipati kusikia utimilifu!”
Tambua kuwa maisha ni sasa (hivi unavyoisoma hii), sio jana wala sio siku utakayofikia malengo yako “Enjoy the present” Maisha ni safari ndio maana wanasemaga hivyo na sio kuwa Maisha ni kituo.
Ina maana kuishi ndio safari yenyewe kwahiyo haijalishi unapitia hali gani hamna siku utakayopata furaha ya kudumu ukiwa hai.
Furaha inapatikana kwa misimu, ukikubaliana na hili hautoteseka. Hakuna happy ending, zile ni movies na hadithi tu
Nna theory kwamba “fulfillment” inapatika kwenye Spiritual Salvation. Kwa Mungu ndio kuna everlasting happiness ila huku kwengine kote sidhani.
Haijalishi utakuwa successful kiasi gani bado utabaki na pengo, kutafuta achievements kibao ni kujipa ubusy ili kukataa ukweli kuwa uko clueless na unachotaka, Yes I said it
Mara nyingi watu wengi wanagundua baadae kwa kuchelewa kuwa furaha unaipata kwenye familia (hapa nazungumzia watu unaowapenda na wanaokupenda kwa dhati sio wale mnaoshare DNA tu).
La mwisho la kuzingatia ni kufanya matumizi kwenye Kununua experience na sio Material stuffs, fanya hivyo utanishukuru.
USISAHAU KUNIJIBU SWALI NILILOKUULIZA PALE JUUKWENYE KICHWA CHA HABARI