Nilichokiona leo mwenge stand

Duuh! Pumba zimejaa humu. Mi naona bora jina la forum libadilishwe kidogo to 'jamii forum/home of negative thinkers' Ni mtazamo tu...
 
Mwache inaonekana wakati watu wanasoma Riwaya na tamsilia alikuwa anakacha vipindi vya kiswahili akidhani akiongea kiswahili cha kikwere na kizaramo anajiona anajua,... Leo kaumbuka jamvini!
hakuna kuumbuka,at this level we learn from each other mkuu
 
Duuh! Pumba zimejaa humu. Mi naona bora jina la forum libadilishwe kidogo to 'jamii forum/home of negative thinkers' Ni mtazamo tu...

We unatafuta nini humu then? It looks like we ndo unaleta pumba humu. Anzisha forum yako uipe hilo jina....
 
napenda magazeti yenye msukumo wa kizalendo,mungu awatie nguvu wahariri wake
 
Back
Top Bottom