Pale mwenge stand kuna ndg yetu albino anauza magzeti,sasa sijui ni amri ya nani na kwa malipo gani nmekuta ameyageuza magazeti ya mwanahali upande wa michezo ndio ulikuwa ukionekana kwa wapita njia na wasoma vichwa vya habari vya magazeti
gazeti la leo la mwanahali ni kali ni jitihada zao za kulihujumu hazitafanikiwa kwani watanzania si mabwege
usikurupuke mkuu,si mwananchi ni mwanahalisi,nani asiyejua hujuma juu ya hilo gazeti pendwa?Mgazeti ya mwananchi ypo ya kumwaga .......kimuhe2 chake tu huyu mleta thread hii
Mgazeti ya mwananchi ypo ya kumwaga .......kimuhe2 chake tu huyu mleta thread hii
Watu wengine bwana??Humu javini ikiandikwa habari ya Udini au habari ya kumponda/kumsifia Dr. Silaa kuna wanajf wanakasirika/wanafurahi, vile vile habari mbaya inayomhusu Mh. h.c Dk. Kikwete kuna wanaokasirika au wanaofurahi. Lkn niwaambie jinsi utavyoendelea kuchangia ujue ndio hiyo habari itaendelea kuwepo.
kuna mtu kampima presidaa temperature ya tumbo au ndio ushabiki maandaziVichwa vinasema hivi;
Kikwete tumbo moto.
- Ahofia mtandao wa wikileaks
- Alikutana na Frazer mara nyingi.
- Hoseah azidi kumpasua kichwa.
Tunapenda sana kusisimua mambo hata yasiyokuwepo. Je wauza magazeti wote hapo Mwenge ndio wamefanya hivyo ama umemuona Albino mmoja tu kafanya hivyo basi imeishakuwa ni 'Jitihada zao kulihujumu'? Wangesubiri mpaka lifike kwa Ndugu yetu alibino?? Tusipendeze sana kukuza mambo hata yasiyostahili kukuzwa jamani!
Baadhi ya wauza magazeti huwa wanayageuza magazeti yao ili yasipaushwe na jua upand wa mbele.
acid hiyo ni lugha ya picha na moja ya namna ya kufikisha ujumbe kwa umma kwa rahisi zaidikuna mtu kampima presidaa temperature ya tumbo au ndio ushabiki maandazi
Hiyo bid wapelekee ccm utapata mshiko usiokuwa wa kawaida.huku mwanza tumeshalisoma kitaaaaaaaaaaambo!
"Zitto for Sale" wasiliana nasi kwa namba 022 666666666,usichelewe wanunuzi ni wengi.
acid hiyo ni lugha ya picha na moja ya namna ya kufikisha ujumbe kwa umma kwa rahisi zaidi