KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Dunia simama nishuke..!
Uliwaambia waendelee ndio nasaha zako kwao?Wakuu assalaam aleyqum!!!
Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular).
Mchana wa leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa sababu ya foleni njia ya TAZARA nilipofika Tandika nilipaki na kuingia public toilet fulani hivi bahati mbaya/nzuri sikumkuta mhudumu (anayepokea chenji) so, niliamua tu kuzama ndani kwa minajili ya kulipa pindi nitokapo..
Nilipofika ndani palikuwa kimya mno ikiashiria kutokuwepo kwa mtu yoyote maeneo yale nilimaliza haja zangu na muda mfupi harakaharaka nikaanza kutoka (niwahi futari) bahati mbaya/nzuri ile nakaribia mlango mkuu wa toilet nilisikia kitu kama yowe au anung'uniko ya mtu anayefanywa kitu kibaya.
Niliamua kurudi ndani kuhakikisha iwapo nilichosikia ni cha kweli ama ni swaumu yangu tu ilinikamata Looh!! Ile nafika choo cha mwisho kabisa nakuta njemba imemuinamisha jamaa (mweupe kama shombe) anamfanya kinyume na maumbile aisee nilichoka na kupigwa butwaa mno na wao niliwaona wakiweweseka wakitamani hata ardhi ipasuke waingie humo.
Nilichofanya niliwaambia ya kwamba waendelee tu na mambo yao na nikawahadaa kwa kuwaomba msamaha kwa bughdha niliyowaletea yule jamaa shombeshombe palepale alitoka kwa mwendo wa haraka huku akifunga mkanda wa trouser nilitoka pale mahali nikiwa siamini nilichokiona nilijuta kiherehere changu cha kupitia Temeke nusu nitengue swaumu yangu astaghfirullah.
mbona hujamaliza kueleza kati ya huyo shombe na jamaa aliyemuinamisha mwenzake ni yupi anayefany kazi hapo choo cha kulipia?Wakuu assalaam aleyqum!!!
Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular).
Mchana wa leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa sababu ya foleni njia ya TAZARA nilipofika Tandika nilipaki na kuingia public toilet fulani hivi bahati mbaya/nzuri sikumkuta mhudumu (anayepokea chenji) so, niliamua tu kuzama ndani kwa minajili ya kulipa pindi nitokapo..
Nilipofika ndani palikuwa kimya mno ikiashiria kutokuwepo kwa mtu yoyote maeneo yale nilimaliza haja zangu na muda mfupi harakaharaka nikaanza kutoka (niwahi futari) bahati mbaya/nzuri ile nakaribia mlango mkuu wa toilet nilisikia kitu kama yowe au anung'uniko ya mtu anayefanywa kitu kibaya.
Niliamua kurudi ndani kuhakikisha iwapo nilichosikia ni cha kweli ama ni swaumu yangu tu ilinikamata Looh!! Ile nafika choo cha mwisho kabisa nakuta njemba imemuinamisha jamaa (mweupe kama shombe) anamfanya kinyume na maumbile aisee nilichoka na kupigwa butwaa mno na wao niliwaona wakiweweseka wakitamani hata ardhi ipasuke waingie humo.
Nilichofanya niliwaambia ya kwamba waendelee tu na mambo yao na nikawahadaa kwa kuwaomba msamaha kwa bughdha niliyowaletea yule jamaa shombeshombe palepale alitoka kwa mwendo wa haraka huku akifunga mkanda wa trouser nilitoka pale mahali nikiwa siamini nilichokiona nilijuta kiherehere changu cha kupitia Temeke nusu nitengue swaumu yangu astaghfirullah.
soma vizuri utaona nmeandika kuwa ile njemba ilimuinamisha shombeshombe but pia sijui mhudumu alikuwa wapi coz hata huduma sikulipa baada ya tukio pia sikumwona mpokea Pesa na sababu ya ile shock, niliondoka zangu fasta sjajua iwapo ile njemba iliyobaki ndani inahusianaje na pale toilet..I don't know na sikutaka kujua sanambona hujamaliza kueleza kati ya huyo shombe na jamaa aliyemuinamisha mwenzake ni yupi anayefany kazi hapo choo cha kulipia?
au mwenye choo hayupo hapo alishakula chake ndo akawaacha jamaa wafiran.e?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samaki akishakauka hakunjiki...labda kama una nia ya kumvunja
Nimewahi kukutana na hii kitu pia. Mchana kweupe mijamaa ya umri wa kati ya miaka 30 na 40 hivi...kwa kweli ni haari sanaWakuu assalaam aleyqum!!!
Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular).
Mchana wa leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa sababu ya foleni njia ya TAZARA nilipofika Tandika nilipaki na kuingia public toilet fulani hivi bahati mbaya/nzuri sikumkuta mhudumu (anayepokea chenji) so, niliamua tu kuzama ndani kwa minajili ya kulipa pindi nitokapo..
Nilipofika ndani palikuwa kimya mno ikiashiria kutokuwepo kwa mtu yoyote maeneo yale nilimaliza haja zangu na muda mfupi harakaharaka nikaanza kutoka (niwahi futari) bahati mbaya/nzuri ile nakaribia mlango mkuu wa toilet nilisikia kitu kama yowe au anung'uniko ya mtu anayefanywa kitu kibaya.
Niliamua kurudi ndani kuhakikisha iwapo nilichosikia ni cha kweli ama ni swaumu yangu tu ilinikamata Looh!! Ile nafika choo cha mwisho kabisa nakuta njemba imemuinamisha jamaa (mweupe kama shombe) anamfanya kinyume na maumbile aisee nilichoka na kupigwa butwaa mno na wao niliwaona wakiweweseka wakitamani hata ardhi ipasuke waingie humo.
Nilichofanya niliwaambia ya kwamba waendelee tu na mambo yao na nikawahadaa kwa kuwaomba msamaha kwa bughdha niliyowaletea yule jamaa shombeshombe palepale alitoka kwa mwendo wa haraka huku akifunga mkanda wa trouser nilitoka pale mahali nikiwa siamini nilichokiona nilijuta kiherehere changu cha kupitia Temeke nusu nitengue swaumu yangu astaghfirullah.
Mkuu hiv kweli kabisa au??Wakuu assalaam aleyqum!!!

utafiti ulifanywa kuanzia kwa watoto na ikaonekana pwani matendo hayo kama kawaida mtoto wa kiume pwani analindwa kuliko wa kike na ukitaka fanya kauchunguzi kako wewe binafsiMkuu Mashoga wapo popote yawezekana hata hao washenzi ni migrants kutoka mikoani