Nilichokiona Leo Dar kiliniacha mdomo wazi

Nilichokiona Leo Dar kiliniacha mdomo wazi

Mkuu Nijambo la ajabu sana hilo ..lkn amin nakuambia siku izi hata jamaa wanawala wamademu zao kinyume na maumbile.

Tunaishi nyakati za mwisho !! Kila mtu atajibu sawasawa na hukumu yake.
Inshaallah kaka
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpumulia mwanaume mwenzio kisogoni
 
Louis II

Kabla ya kuingia ulipiga "bismillaah, allaahumma innee a‛oodhu bika minal-khubuthi wal-khabaa’ith" ?

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ
Asante Mkuu. Kumbe vitu vinapanda. MashaaAllah.
 
Louis II

Kabla ya kuingia ulipiga "bismillaah, allaahumma innee a‛oodhu bika minal-khubuthi wal-khabaa’ith" ?

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ
First thing..kabla ya kukanyaga sakafu ya choo
 
Louis II

Kabla ya kuingia ulipiga "bismillaah, allaahumma innee a‛oodhu bika minal-khubuthi wal-khabaa’ith" ?

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ
Ha hahha hahaha ....
 
hahaaa ...acha kututisha ....siku za mwisho wakati watu wameanza kupakuana tangu enzi za sodoma """........daaah ila hao Jamaa wanalaana ..ptuuuuu"""
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyu jamaa anaona kana kwamba kuna mapya dunia hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom