Nilichokiona Leo Dar kiliniacha mdomo wazi

Nilichokiona Leo Dar kiliniacha mdomo wazi

Pole sana mkuu
Mungu atunusuru na vizazi vyetu jamani
 
Na mwezi wote huu walishindwa kua na subra na haya..loh!!

Mungu tuepueshie hizi laana kwa watoto wetu wa kiume
 
We ulichoona ni gari. FYI gari sio issue now days so grow up dude
Wewe umeingia humu Jana tuu. umeona zaid yangu. Ungekuwa unajikaza kwenye maisha kama unavyo jikaza kuona vilivyomo humu ungekuwa mbali. WT f****
 
Kuwa makini, usipende sana kuingia sehemu kama hizo bila tahadhari.... ungeweza kukabwa na kufanywa! NB... wakati hujaanza safari make sure umejisaidia.
 
Haya mambo kweli ya ajabu sana
 
Wee hufai kabisa ulitakiwa uwachome Moto kabisa Kwanza ungewaita watu I'll muwaue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom