For that, intatofautiana kidogo na ww na mleta thread. CHADEMA chimbuko lake ni KASKAZINI then imesambaaa mpaka Songea, tundulu namtumbo, kyelwa,ilemela mpaka makete hata sumbawanga na kongwa CHADEMA ipo but mwanzo ilianzia huko. For that case kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo katoka kigoma hata ushawishi umeanzia kigoma then kama watakua strong strategically chama itasambaa inchi zima as how situation is juu ya CHADEMA na ccm. Zito anakubalika kigoma na kwengineko nchini nikukumbushe operation SANGALA under CHADEMA moja ya watu waliokua na mvuto ni Zito. Shida ya Mshikaji ni mpenda madaraka na msaliti/mnafiki/hypocrites. kwangu ni mojawapo ya kasoro kubwa sana.Mkuu uko sawa kabsa, act ni chama cha watu wa kigoma, hilo halina ubishi 100% na wakat mwingne namuoneaga huruma sana huyo mama Anna, kingne zito ana mvuto zaid kigoma
Hilo la Chadema na uchaga na Chadema na ukaskazini lilishabuma kitambo sana, ukitaka uamini waulize mabwana zako ccm walivyaitumia sana hiyo mbinu yao haramu 2010 matokeo waliyoyapata hawakuamini pamoja na propaganda yao hiyo ya kipuuzi. Baada ya uchaguzi mkuu 2010 wakaendelea kuitumia tena lkn walichokuwa wanakishuhudia kwenye majukwaa ya siasa pamoja na propaganda yao hiyo uchwara hawakuamini, ilipofika 2015 waliishiwa pumzi wakaachana nayo baada ya kuona inaleta matokeo hasi kwa upande wao.Muweka hazina wa mkoa wa Tabora huku unyamwezini ni Mchaga.Sasa mkiendelea kuleta ukabila tutanza kuwalipua.Mbona kipindi mnaongoza halmashauri ya Kigoma Ujiji hamkusema Chadema ni ya Kigoma? Au nyinyi mbona mnawabunge wengi Sana kutoka kaskazini na uchagani mbona hatusemi ni Chama cha uchagani?
Hhhhhhhhh, hivi masikini mkulima bado yumo humu?!
NimsaidieUkijibu masuali haya utapata majibu.
Hakuna chama ambacho hakina base?.
Ulijuaje kama wanachama wengi waliohudhuria Jana ni wakigoma?.
Umejuaje wanaotoka mikoa mingine kama niwashkaji zake Zitto?.
Huyo alive muatack mama Anna alimuatack wapi?,unaweza kutuwekea vidio tuone hayo maneno?.
By the way Chadema,Nccr,Cuf,Chauma na CCM wanachama wake wengi wanotka wapi?.Bila shaka utakuwa unafahamu kwa kuwa wanachama wa ACT umefahamu wanapotokea(wengi).
Chama kipi ambacho huwa kinaanza mkutano muda kilio utangaza utaanza?.
Nimesikia clip ya Afande Sele akisema Zitto aliwarubuni kuhamia Act na angekuwa Chadema angeshinda ubungeKila alieyepo ACT anajutia hujamskia AFANDE SELE?
HATA HUYU MAMA ANGEGOMBEA UBUNGE ANGEPATA,LKN NDIO HIVYO..jamaa yeye aligombea ubunge na akapata,wenzake wanasugus vidole bila hata issue jmn siasa za bongo!
Vip! Hafande Sele hakupaform jukwaani!?
kumbuka CHADEMA ni chama cha muda sana hivyo tayari kilishapata symbolic nyingi na ACT haiwezi kuwa na symbolic nyingi kama ilivyo CHADEMA kwa sababu bado ni kichanga.... All in all well done chadema, well done ACT,well done CUF,well done CHAUMA,well done vyama vyote kama kuna mwenye dhamira ya kweli but it is unfair kama kuna uongo ndani ya vyama vyenuHapo kwenye symbolic na iconic ya chama, kwa chadema ipo mbali sana. Mkutano ukiitishwa hata kama hayupo Mbowe ila akawepo hata kama ni Wenje au Sugu au Msigwa au Halima mdee au Prof. J. Utashuhudia mwitikio mkubwa wa watu.
Unaweza ukathibitisha hayo maneno?Mbowe ni mpenda madaraka/mnafki/mpiga dili za kubadilisha Gia/muongo na mbaguzi.
Mkuu hukwenda tena ibadani?Top leaders Zitto ndio mwanaKigoma, but hujaelewa, nimesema waliokuwa wajumbe wengi ni kigoma. Tena walibebwa wengine kutoka Kigoma ili mkutano usipwae. Then mimi nilienda kama mwanademokrasia tu na wala si kwa ubaya but niliyoyaona ndio hayo nimeshare na hata walichoplan kilifail kabisa.
[HASHTAG]#rudi[/HASHTAG] kwenye thread ya jana ya mkutano huo,nilikuwa watu wa mwazo kabisa kuwashawishi wapenda demokrasia waje hadi nikaishiwa kuitwa msaliti. But uozo niliouona lazima niseme.
Napata shida sana nchi hii,INA maana wewe umeona mapungufu tu hakuna Mazuri uliyoyaona ktk huo mkutano?Za asubuhi wakuu.
Jana nilihudhuria mkutano wa demokrasia wa chama hiki cha Act Wazalendo na lengo langu lilikuwa kujifunza na kuona jinsi watu wanavyoichambua demokrasia yetu.
Yafuatayo ndio niliyoyaona.
1. Act Wazalendo bado ni chama kichanga sana, hata kwenye mipango yao tu wanaonekana. Walipanga wataanza saa nne but walijikuta wakiwakalisha watu hadi saa sita. Poor planning and organisation ndio maana walishindwa kwenda na ratiba na ili kuokoa jahazi ilibidi Zitto awe Mc but it was too late.
2. Bila Zitto hakuna chama. Mtanisamehe amabao nitawagusa but huo ndio ukweli. Nyimbo zote za chama zinamsifu yeye tu. Hawafanyi kitu bila kumconsult yeye, hii inamana hawajiamini katika maamuzi nje ya Zitto. Nilikaa nikawaza sana siku Zito akiwa nje ya Act itakuaje? Jibu ni rahisi, chama kitakufa.
3. Chama ni mali ya Wanakigoma. Mwanzo nilikuwa nabishana na hii hoja lakini jana nilijionea mwenyewe. Asilimia 70% ya washiriki walitokea Kigoma. Yaani mikoa mingine waliopo Act ni washkaji wa Zitto. Please futeni hii picha sio nzuri kwa maendeleo ya chama.
4. Mama Anna Mgwira ni symbolic leader. Hapa nna maana huyu mama kawekwa kama geresha tu. Hana nguvu yoyote ndani ya chama. Hakuwa na furaha kabisa. But ni mzuri sana kwenye speech delivery. Kuna mwanachama alimuatack direct kwamba aache kuropoka jinsi alivyoteuliwa kugombea uraisi. Kumbe walitumia dakika 30 tu kumteua? Swali ni je angeshinda ingekuaje, maana anadai alikuwa anajiandaa kwa ubunge na alishtukizwa tu. Hapa ile hoja ya kwamba walikuja kupunguza kura za ukawa zinaweza pata mashiko.
Ngoja niwahi ibada nikirudi nitaendelea.
Mwanademokrasia.
Hapa ndio unaitetea ACT yako mbovu?Mbowe ni mpenda madaraka/mnafki/mpiga dili za kubadilisha Gia/muongo na mbaguzi.