Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

May I say " when one is a slave and does not that is a slave". How can you talk to such a one, when those he worship tell him is a free one.

Democracy exist in books so as to control the reality, something bigger in our world is happening that needs attention than being busy on democracy issue, we are a laughing thing for those who are playing us and it is a pity that we don't know that we are being played. Obviously in every change of administration there are those who loose and win.
 
Kosa letu ACT ni kupambana na ujinga popote ulipo iwe ni ccm au kwa wapinzani wenzetu na ndio maana baadhi ya wenzetu hawatupendi- By prof.Kitila Mkumbo

Kauli hii inamgusa mtoa post na wanachadema wote ambao kimsingi Chama na viongozi Wao wamewajenga zaidi katika siasa za propaganda.Hamziwezi siasa za hoja.NDIO MAANA MNATEGEMEA SANA MAKOSA YA CCM ILI MTAFUTE KIKI.Mimi nadhani mwisho wa siasa za propaganda na kuchafuana zinapitwa na wakati.

MTAGANDA KWA UZEE WA PROPAGANDA.
 
Ooooh kumbe unajua hilo sasa laichoongea huyo boya juu maana yake nini? Kwamba chama kimejaaa watu wa kigoma kumbe majibu mnayo afu mnajitoa ufahamu kama hamuoni tatizo lililopo kwenye vyama vyenu sio......
mkuu mimi sijakubaliana naye ila nilikua najaribu kuuliza kwa kile ulicho post!
sorry kama ulinielewa vibaya
 
Ukijibu masuali haya utapata majibu.

Hakuna chama ambacho hakina base?.

Ulijuaje kama wanachama wengi waliohudhuria Jana ni wakigoma?.

Umejuaje wanaotoka mikoa mingine kama niwashkaji zake Zitto?.

Huyo alive muatack mama Anna alimuatack wapi?,unaweza kutuwekea vidio tuone hayo maneno?.

By the way Chadema,Nccr,Cuf,Chauma na CCM wanachama wake wengi wanotka wapi?.Bila shaka utakuwa unafahamu kwa kuwa wanachama wa ACT umefahamu wanapotokea(wengi).

Chama kipi ambacho huwa kinaanza mkutano muda kilio utangaza utaanza?.

Some of your questions are irrelevant,unasema hakuna Chama ambacho hakina base haya tuambie ccm base yake ni wapi? Kama your claim ni kwamba kila chama Lazima kiwe na base.

alijua kwa sababu ACT base yake ni kigoma ,refer to your second question.

Ni washikaji zake kwa sababu hiyo mikoa wanayotoka,Act hawana hata MJUMBE wa nyumba kumi refer to your third question.

Hakujua kwamba Yule mama angekuwa attacked vabaly ,that's why hakutembea na video camera kurekodi matukio,further more hakuenda pale kurekodi matukio kwa vifaa,Bali alienda kurekodi using his brain Kama mwana demokrasia ,refer to your question four .

Chadema cuf,nccr,ccm wana Chama wake wako scattered all over the country,refer to wabunge ,madiwani,wenyeviti nk.usiwe unauliza maswali ya kitoto mkuu,utajibiwa kitoto .
Muombeni mkulu aruhusu mikutano ya vyama mtapakae nchi nzima mkitangaze ACT ,mtakuja pata tu wanachama mkuu.
 
Kosa letu ACT ni kupambana na ujinga popote ulipo iwe ni ccm au kwa wapinzani wenzetu na ndio maana baadhi ya wenzetu hawatupendi- By prof.Kitila Mkumbo

Kauli hii inamgusa mtoa post na wanachadema wote ambao kimsingi Chama na viongozi Wao wamewajenga zaidi katika siasa za propaganda.Hamziwezi siasa za hoja.NDIO MAANA MNATEGEMEA SANA MAKOSA YA CCM ILI MTAFUTE KIKI.Mimi nadhani mwisho wa siasa za propaganda na kuchafuana zinapitwa na wakati.

MTAGANDA KWA UZEE WA PROPAGANDA.
Mkuu sina shida na ile speech ya Kitila, he is a good lecturer by the way. Kakinadi chama poa. But hayo mapungufu pambaneni nayo. Yule jamaa wa Kenya ndio alikuwa my hero, very smart na alinifunza mengi kama kijana.
 
Some of your questions are irrelevant,unasema hakuna Chama ambacho hakuna base haya tuambia ccm base yake ni wapi? Kama your claim ni hakuna Chama ambacho hakuna base.

Alikuwa kwa sababu ACT base yake ni kigoma ,refer to your first question.

Ni washikaji wake kwa sababu hiyo mikoa wanayotoka Act hawana hata MJUMBE wa nyumba kumi refer to your third question.

Hakujua kwamba Yule mama ange angekuwa attacked vabali,that's why akutenbea na video camera kuwa kurekodi matukio,further more hakuenda pale kurekodi matukio kwa vifaa,Bali alienda kurekodi using his brain Kama mwana demokrasia ,refer to your question four .

Chadema cuf,nccr,ccm wana Chama wake wako scattered Alan over the country,refer to wabunge ,madiwani,wenyeviti nk.usiwe una uliza maswali ya kitoto mkuu,utajibiwa kitoto .
Muombeni mkulu aruhusu mikutano ya vyama mtapakae nchi mzima mkitangaze ACT ,mtakuja pata tu wanachama mkuu.
Asante kwa kumjibu mkuu
 
Sio#siyo
Unarekebisha na kukosea au umesoma Mbeya day mnavuta mibangi tuu kukaba koo walimu wenu
Una jaribu kumrekebisha au na wewe ni Kama wale waalimu wahuni waliovamia fani ya ualimu?
Ualimu wito bana,Kama kakosea kuandika Afannde inaweza ikawa typing error ,sio kumkoromea Kama wale waalimu wako wa mwendo kasi.
 
Mtaganda kwa uzee wa propaganda.Acha ACT ifanye siasa za Maendeleo nyinyi endeleeni na Siasa za Mabifu ya CUF, na mnavyoitafuta ACT kugombana nayo.

Mtoa Thread na Wanaounga mkono wote Ni waumini Wa Siasa za Mabifu na Chuki zilizo mioyoni mwenu.Hata huko kwenda kusali Ni kumtania Mungu kwakuwa unafaa kuwa mfuasi wa shetani(Hii post hawezi Thread hawezi kuileta mtu mwenye kumuogopa Mungu)

SIASA ZA UKABILA NA UDINI NI ZAKUOGOPWA KAMA UKOMA.CHADEMA NI JANGA KWA VIJANA WA KIZAZI HIKI NA TAIFA KWA UJUMLA.

ACTWAZALENDO NI MPANGO WA MUNGU NA HAKUNA WAKUISHUSHA.
 
Huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa act ni chama cha ukanda kwani chadema wabunge wengi wanatoka wapi kama sio moshi na arusha
 
Dah...ukifikiri sana utajua umaarufu wa chama siyo kitu cha kudumu...Ila dhamira njema ya viongozi wake.....mbona hata kundi la wezi na mafisadi wanaweza wakawa na chama maarufu sana na wasichaguliwe na wananchi[emoji13] [emoji13]
 
Ukweli ni kuwa vyama vyote vinamtegemea mtu 1 chadema yuko Mbowe huwezi kupinga kitu ambacho kakipitisha ccm ni JPM huwezi pinga atakacho kipitisha na Zitto ni vilevile na vyama vingine ukweli ni kuwa hakuna chama kinachoweza kunyooshea kidole chama kingine wote ni walewale tu kasolo tarehe
 
Mi nadhani haukwenda kusikiliza mkutano wa demokrasia ila kuangalia chama kinaendeshwaje?? Unashangaa mkutano kuchelewa?? mkutano gani wa kisiasa uliowahi kuanza exactly kwa time iliyopangwa?? Kila chama kina symbolic leaders na kina iconic leader kwa ACT ni ZItto ndio ICON na kwa Chadema ni Mbowe as well as kwa NCCR ni Mbatia.
Kila chama kina sehemu ambayo ni base na hilo huja automatically..... kama chama kimeshinda kwa 70% KIGOMA Mjini ni wazi kinakubalika zaidi huko na ni wazi wanachama hai wengi watatokea huko. Ila nikuombe unitajie wangapi wenye ngazi za juu uliowaona kwenye mkutano huo ni wa Kigoma ukilinganisha na wa Mikoa Mingine??
Ukisoma Katiba ya ACT utaelewa mama ANNA ni nani ndani ya Chama na itakuwa rahisi sana kumtofautisha na Zitto.

Nikuombe utakaporudi uje na content zilizojadiliwa ili tuone kama zinasaidia ama la!!
Yeye aliona hicho alichotueleza, hebu na wewe tueleze ulichokiona huko ikiwemo hizo " content", maana msitake kupangia watu waeleze kile ambacho hawakuona huko!
 
mcubic yupo ibadani pia, akitoka atakuja kukujibu. Uzuri wa mcubic hujibu kwa utulivu bila jazba.

"Nawapongeza sana ACT Wazalendo kwa kuwezesha kufanyika kwa Mkutano wa Demokrasia. Nawapongeza kwa kutufungua macho na kututoa matongotongo juu ya namna bora ya uendeshaji wa siasa za vyama vya siasa. Kwenye hili mmeonyesha njia na mnapaswa kuigwa. Zaidi mmeonyesha kuwa ACT Wazalendo si Chama cha Uchaguzi Mkuu tu.

Inasikitisha kuwa Chama kikubwa CCM na Asasi kubwa za Siasa nchini za CUF na CHADEMA vyote havina Makongamano ya Kisera (Policy Convention). Ni hatari zaidi kwa CCM kwa kuwa ni Chama chenye kuongoza Dola. Maana kama huna Policy Convention unaibua wapi Sera mpya? Ukisikia wamekutana ni uchujaji majina, ratiba ya uchaguzi, kujaza nafasi na Uchaguzi Mkuu tu. Hivyo sina budi kwa mwanzo huu mzuri. Sijafuatilia kujua kilichojiri zaidi ya kuokoteza mrejesho hapa na pale. Sina mashaka mtaendelea na utamaduni huu. Hongereni sana."

Chanzo: Mfuatiliaji wa Siasa za Tanzazania
 
Tuachieni chama chetu sisi watu wa kigoma waha bila act haiwezekani au ingetosha kusema kigoma bila act haiwezekani .nilikutana na kinda kinda wa act akawa anaongea hivyo Mimi nikamwambia umepotea nikamwambia nilikuwa mbioni kujiunga na nyinyi sijiungi tena bora nibakie njia kuu michepuko sitaki.
 
Back
Top Bottom