Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,157
- 1,447
Za asubuhi wakuu.
Jana nilihudhuria mkutano wa demokrasia wa chama hiki cha Act Wazalendo na lengo langu lilikuwa kujifunza na kuona jinsi watu wanavyoichambua demokrasia yetu.
Yafuatayo ndio niliyoyaona.
1. Act Wazalendo bado ni chama kichanga sana, hata kwenye mipango yao tu wanaonekana. Walipanga wataanza saa nne but walijikuta wakiwakalisha watu hadi saa sita. Poor planning and organisation ndio maana walishindwa kwenda na ratiba na ili kuokoa jahazi ilibidi Zitto awe Mc but it was too late.
2. Bila Zitto hakuna chama. Mtanisamehe amabao nitawagusa but huo ndio ukweli. Nyimbo zote za chama zinamsifu yeye tu. Hawafanyi kitu bila kumconsult yeye, hii inamana hawajiamini katika maamuzi nje ya Zitto. Nilikaa nikawaza sana siku Zito akiwa nje ya Act itakuaje? Jibu ni rahisi, chama kitakufa.
3. Chama ni mali ya Wanakigoma. Mwanzo nilikuwa nabishana na hii hoja lakini jana nilijionea mwenyewe. Asilimia 70% ya washiriki walitokea Kigoma. Yaani mikoa mingine waliopo Act ni washkaji wa Zitto. Please futeni hii picha sio nzuri kwa maendeleo ya chama.
4. Mama Anna Mgwira ni symbolic leader. Hapa nna maana huyu mama kawekwa kama geresha tu. Hana nguvu yoyote ndani ya chama. Hakuwa na furaha kabisa. But ni mzuri sana kwenye speech delivery. Kuna mwanachama alimuatack direct kwamba aache kuropoka jinsi alivyoteuliwa kugombea uraisi. Kumbe walitumia dakika 30 tu kumteua? Swali ni je angeshinda ingekuaje, maana anadai alikuwa anajiandaa kwa ubunge na alishtukizwa tu. Hapa ile hoja ya kwamba walikuja kupunguza kura za ukawa zinaweza pata mashiko.
Ngoja niwahi ibada nikirudi nitaendelea.
Mwanademokrasia.