Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
CDM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu mmoja ni kama ilivyo CCMNi sawa na chdm bila mwnykt dj
CDM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu mmoja ni kama ilivyo CCMNi sawa na chdm bila mwnykt dj
Afannde ndio nini?Una jaribu kumrekebisha au na wewe ni Kama wale waalimu wahuni waliovamia fani ya ualimu?
Ualimu wito bana,Kama kakosea kuandika Afannde inaweza ikawa typing error ,sio kumkoromea Kama wale waalimu wako wa mwendo kasi.
aliyemtuma aje atoe taarifa nusu nani?? Alikwenda kuangalia makosa ili aje apost na kupongezwa na watu aina yako.Yeye aliona hicho alichotueleza, hebu na wewe tueleze ulichokiona huko ikiwemo hizo " content", maana msitake kupangia watu waeleze kile ambacho hawakuona huko!
Zitto haitaji kukubaliwa na wewe tu;Watanzania wengi wanamkubali.Zitto kabwe nilikuwa namkubali na kumuelewa lakini kutokana na unafiki wake nimemkataa
Yeye amechagua angle hiyo, sawa na wewe ulivyochagua angle ya "content" ambayo hata hujatuwekea hapa! Ni kawaida kwa "maripota" kama wewe na mleta uzi, mkienda kwenye tukio kama hilo la ACT mnaweza kuwa na angle tofauti ya stori, inakubalika shehe!aliyemtuma aje atoe taarifa nusu nani?? Alikwenda kuangalia makosa ili aje apost na kupongezwa na watu aina yako.
Zitto kabwe nilikuwa namkubali na kumuelewa lakini kutokana na unafiki wake nimemkataa
Unafiki wake ni upi? Elezea.Zitto kabwe nilikuwa namkubali na kumuelewa lakini kutokana na unafiki wake nimemkataa
Bahati mbaya sana Prof Mkumbo mwenyewe ameishakokotwa na siasa za propaganda, hana jipya!Kosa letu ACT ni kupambana na ujinga popote ulipo iwe ni ccm au kwa wapinzani wenzetu na ndio maana baadhi ya wenzetu hawatupendi- By prof.Kitila Mkumbo
Kauli hii inamgusa mtoa post na wanachadema wote ambao kimsingi Chama na viongozi Wao wamewajenga zaidi katika siasa za propaganda.Hamziwezi siasa za hoja.NDIO MAANA MNATEGEMEA SANA MAKOSA YA CCM ILI MTAFUTE KIKI.Mimi nadhani mwisho wa siasa za propaganda na kuchafuana zinapitwa na wakati.
MTAGANDA KWA UZEE WA PROPAGANDA.
Mkuu hii ni halisi ama duka la picha...???Hawa wote wametoka Kigoma.Kweli waliowaita nyinyi ni nyumbu siwalaumu mnafanana na tabia za nyumbu.
Malaya Wa Siasa Ni yule aliyeyakana maneno yake dhidi ya Lowassa sasa sijui unamtukana mwenyekiti wako.SOMA HAPO JUU KIKI GANI INAWAFAA?malaya wa siasa