Speed of light
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 313
- 285
Mleta mada ulichokileta ni maoni yako binfs tu kwa wengine tumeondoka na faida kubwa tumejifunza mengi mno , tuwape moyo wale wanaojaribu kuendeleza Nchi na sio kuwavunja moyo.
ACT bila Zito ni sawa na gari bila usukani..kina Mchange,Mwigamba,Mkumbo hawa ni wapiga ramli lakini Ramli zao huwa hazifanyi kazi kabisa
Unakosea sanaSome of your questions are irrelevant,unasema hakuna Chama ambacho hakina base haya tuambie ccm base yake ni wapi? Kama your claim ni kwamba kila chama Lazima kiwe na base.
alijua kwa sababu ACT base yake ni kigoma ,refer to your second question.
Ni washikaji zake kwa sababu hiyo mikoa wanayotoka,Act hawana hata MJUMBE wa nyumba kumi refer to your third question.
Hakujua kwamba Yule mama angekuwa attacked vabaly ,that's why hakutembea na video camera kurekodi matukio,further more hakuenda pale kurekodi matukio kwa vifaa,Bali alienda kurekodi using his brain Kama mwana demokrasia ,refer to your question four .
Chadema cuf,nccr,ccm wana Chama wake wako scattered all over the country,refer to wabunge ,madiwani,wenyeviti nk.usiwe unauliza maswali ya kitoto mkuu,utajibiwa kitoto .
Muombeni mkulu aruhusu mikutano ya vyama mtapakae nchi nzima mkitangaze ACT ,mtakuja pata tu wanachama mkuu.
Chadema bila.Mbowe na wachaga hakuna chama
ha ha mkuu umeniacha nacheka mwenyewe hapaVip! Hafande Sele hakupaform jukwaani!?
duh umekuwa msemaji wa watanzania mkuu?Zitto haitaji kukubaliwa na wewe tu;Watanzania wengi wanamkubali.
Wewe ni msemaji wa mafisadiduh umekuwa msemaji wa watanzania mkuu?
Nadhani niliyotabiri unaonaKubishana Na watu wenye chembe za uongo Ni kupoteza muda.Chadema Chama kikongwe ila hakijabalehe kisiasa bado mawazo mgando yamewatawala.....mawazo ya anatumika, tuandamane.....tumchafue.......tumtukane Na Siasa za majitaka.
ACT Ni Chama kichanga chenye ukubwa wa hoja Na mitazamo ya kisiasa inayokwenda Na wakati.Huyo Afande Sele tunaelewa kwamba mnataka kumsajili upya sasa ataongea weee ila hatojibiwa wala kufukuzwa Kama angekuwa CHADEMA angekoga matusi mpaka picha zake za utupu stajini zingeshamili.
MTAGANDA KWA UZEE WA PROPAGANDA