Viongozi wa chama ni kurugenzi sasa niambie kurugenzi ipi msigwa na sugu wapo?.... Usichanganye kiongozi wa chama na mbunge wa chamasugu ni mchaga? msigwa ni mchaga? mwita ni mchaga?
propaganda zisizo na mashiko
kama wajumbe wameridhia tatizo liko wapi mkuu?Viongozi wa chama ni kurugenzi sasa niambie kurugenzi ipi msigwa na sugu wapo?.... Usichanganye kiongozi wa chama na mbunge wa chama
mcubic yupo ibadani pia, akitoka atakuja kukujibu. Uzuri wa mcubic hujibu kwa utulivu bila jazba.Za asubuhi wakuu.
Jana nilihudhuria mkutano wa demokrasia wa chama hiki cha Act Wazalendo na lengo langu lilikuwa kujifunza na kuona jinsi watu wanavyoichambua demokrasia yetu.
Yafuatayo ndio niliyoyaona.
1. Act Wazalendo bado ni chama kichanga sana, hata kwenye mipango yao tu wanaonekana. Walipanga wataanza saa nne but walijikuta wakiwakalisha watu hadi saa sita. Poor planning and organisation ndio maana walishindwa kwenda na ratiba na ili kuokoa jahazi ilibidi Zitto awe Mc but it was too late.
2. Bila Zitto hakuna chama. Mtanisamehe amabao nitawagusa but huo ndio ukweli. Nyimbo zote za chama zinamsifu yeye tu. Hawafanyi kitu bila kumconsult yeye, hii inamana hawajiamini katika maamuzi nje ya Zitto. Nilikaa nikawaza sana siku Zito akiwa nje ya Act itakuaje? Jibu ni rahisi, chama kitakufa.
3. Chama ni mali ya Wanakigoma. Mwanzo nilikuwa nabishana na hii hoja lakini jana nilijionea mwenyewe. Asilimia 70% ya washiriki walitokea Kigoma. Yaani mikoa mingine waliopo Act ni washkaji wa Zitto. Please futeni hii picha sio nzuri kwa maendeleo ya chama.
4. Mama Anna Mgwira ni symbolic leader. Hapa nna maana huyu mama kawekwa kama geresha tu. Hana nguvu yoyote ndani ya chama. Hakuwa na furaha kabisa. But ni mzuri sana kwenye speech delivery. Kuna mwanachama alimuatack direct kwamba aache kuropoka jinsi alivyoteuliwa kugombea uraisi. Kumbe walitumia dakika 30 tu kumteua? Swali ni je angeshinda ingekuaje, maana anadai alikuwa anajiandaa kwa ubunge na alishtukizwa tu. Hapa ile hoja ya kwamba walikuja kupunguza kura za ukawa zinaweza pata mashiko.
Ngoja niwahi ibada nikirudi nitaendelea.
Mwanademokrasia.
Mwigamba alishatoka nduki mkuu.ACT bila Zito ni sawa na gari bila usukani..kina Mchange,Mwigamba,Mkumbo hawa ni wapiga ramli lakini Ramli zao huwa hazifanyi kazi kabisa
Ooooh kumbe unajua hilo sasa laichoongea huyo boya juu maana yake nini? Kwamba chama kimejaaa watu wa kigoma kumbe majibu mnayo afu mnajitoa ufahamu kama hamuoni tatizo lililopo kwenye vyama vyenu sio......kama wajumbe wameridhia tatizo liko wapi mkuu?
Basi kaona mbali
Chadema uchaguzi wa 1995 ilipata wabunge watatu ambao ni Dr Slaa Karatu, Dr Kabour Kigoma, na Mzee Ndesamburo Moshi, usidanganye kuwa Chadema mbunge wake wa kwanza alitokea Kigoma pekee.Hata Chadema miaka 1995 mpka 2005 base yake kuu ilikuwa kigoma na mbunge wake wa kwanza alitokea kigoma fuatilia hilo utajua then uje tuongee sio kuropoka kama mvuta bangi... Chadema hamna mjenga hoja waliopo ni waropokaji na sasa chama kimekuwa cha wachaga
ACT ni Zito na Zito ni CCM B hilo halipingikiTop leaders Zitto ndio mwanaKigoma, but hujaelewa, nimesema waliokuwa wajumbe wengi ni kigoma. Tena walibebwa wengine kutoka Kigoma ili mkutano usipwae. Then mimi nilienda kama mwanademokrasia tu na wala si kwa ubaya but niliyoyaona ndio hayo nimeshare na hata walichoplan kilifail kabisa.
[HASHTAG]#rudi[/HASHTAG] kwenye thread ya jana ya mkutano huo,nilikuwa watu wa mwazo kabisa kuwashawishi wapenda demokrasia waje hadi nikaishiwa kuitwa msaliti. But uozo niliouona lazima niseme.
mbona chadema ilikua moshi tu kwanza na hadi sasa ni chama cha wamangi zaidi. mwacheni zitto aanze na kigoma yake. kila moto huanzia mahali na kusambaa...viva zittoZa asubuhi wakuu.