Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

Attachments

  • 1475992812080.jpg
    1475992812080.jpg
    28.3 KB · Views: 34
Za asubuhi wakuu.
Jana nilihudhuria mkutano wa demokrasia wa chama hiki cha Act Wazalendo na lengo langu lilikuwa kujifunza na kuona jinsi watu wanavyoichambua demokrasia yetu.
Yafuatayo ndio niliyoyaona.
1. Act Wazalendo bado ni chama kichanga sana, hata kwenye mipango yao tu wanaonekana. Walipanga wataanza saa nne but walijikuta wakiwakalisha watu hadi saa sita. Poor planning and organisation ndio maana walishindwa kwenda na ratiba na ili kuokoa jahazi ilibidi Zitto awe Mc but it was too late.
2. Bila Zitto hakuna chama. Mtanisamehe amabao nitawagusa but huo ndio ukweli. Nyimbo zote za chama zinamsifu yeye tu. Hawafanyi kitu bila kumconsult yeye, hii inamana hawajiamini katika maamuzi nje ya Zitto. Nilikaa nikawaza sana siku Zito akiwa nje ya Act itakuaje? Jibu ni rahisi, chama kitakufa.
3. Chama ni mali ya Wanakigoma. Mwanzo nilikuwa nabishana na hii hoja lakini jana nilijionea mwenyewe. Asilimia 70% ya washiriki walitokea Kigoma. Yaani mikoa mingine waliopo Act ni washkaji wa Zitto. Please futeni hii picha sio nzuri kwa maendeleo ya chama.
4. Mama Anna Mgwira ni symbolic leader. Hapa nna maana huyu mama kawekwa kama geresha tu. Hana nguvu yoyote ndani ya chama. Hakuwa na furaha kabisa. But ni mzuri sana kwenye speech delivery. Kuna mwanachama alimuatack direct kwamba aache kuropoka jinsi alivyoteuliwa kugombea uraisi. Kumbe walitumia dakika 30 tu kumteua? Swali ni je angeshinda ingekuaje, maana anadai alikuwa anajiandaa kwa ubunge na alishtukizwa tu. Hapa ile hoja ya kwamba walikuja kupunguza kura za ukawa zinaweza pata mashiko.

Ngoja niwahi ibada nikirudi nitaendelea.

Mwanademokrasia.
Lowassa aliteuliwa kwa dk moja tu kugombea urais kwa tiketi ya CDM.
 
Wengine walisombwa makuli wa kariakoo pale toka kigoma

Top leaders Zitto ndio mwanaKigoma, but hujaelewa, nimesema waliokuwa wajumbe wengi ni kigoma. Tena walibebwa wengine kutoka Kigoma ili mkutano usipwae. Then mimi nilienda kama mwanademokrasia tu na wala si kwa ubaya but niliyoyaona ndio hayo nimeshare na hata walichoplan kilifail kabisa.

[HASHTAG]#rudi[/HASHTAG] kwenye thread ya jana ya mkutano huo,nilikuwa watu wa mwazo kabisa kuwashawishi wapenda demokrasia waje hadi nikaishiwa kuitwa msaliti. But uozo niliouona lazima niseme.
 
Safi sana Act wazalendo, nyie ndio Tumaini jipya la watanzania
 
Act ya wasaliti base yao ni waha wa mwandiga

Tatizo LA watanzania sisi kwa vyama vya upinzani ni moja " kuona kwamba vyama ni vya kikabila au kikanda" ili hali chama kinawafuasi nchi zima.
Kila chama lazima kiwe na base yaani eneo ambalo kinakubalika sana.Kwa mfano wale wafuasi damu damu mikoa ya kusini je,in wapemba?
tuache kupotosha
 
Mkuu usifananishe chadema na vyama vya kijinga kijinga kama act na ccm

Hapo kwenye symbolic na iconic ya chama, kwa chadema ipo mbali sana. Mkutano ukiitishwa hata kama hayupo Mbowe ila akawepo hata kama ni Wenje au Sugu au Msigwa au Halima mdee au Prof. J. Utashuhudia mwitikio mkubwa wa watu.
 
Hata Chadema miaka 1995 mpka 2005 base yake kuu ilikuwa kigoma na mbunge wake wa kwanza alitokea kigoma fuatilia hilo utajua then uje tuongee sio kuropoka kama mvuta bangi... Chadema hamna mjenga hoja waliopo ni waropokaji na sasa chama kimekuwa cha wachaga
sugu ni mchaga? msigwa ni mchaga? mwita ni mchaga?
propaganda zisizo na mashiko
 
We hujui makao makuu yapo mwandiga, huku dar ni sehemu ya kuombea ruzuku tu pale lumumba
Chama cha waha

Mkuu uko sawa kabsa, act ni chama cha watu wa kigoma, hilo halina ubishi 100% na wakat mwingne namuoneaga huruma sana huyo mama Anna, kingne zito ana mvuto zaid kigoma
 
Chama kilichojengwa kwenye misingi ys usaliti hakifiki mbali mkuu, labda km umeanza kufatilia siasa juzi

Kila chama cha siasa huanza hivyo hata TAA na baadae TANU ilianza hivyo, wazee wa Dar akina Abdulwaheed Sykes kwa kutaka kuungwa mkono bara walimfuata Chief Makwaiya Kidaha wa Shinyanga ili aongoze Chama dhidi ya mkoloni akakataa, ndipo walimfuata JK nyerere, kwanza alisita kdg baadae akakubali, na leo hii baba wa Taifa ni JK nyerere na nani anamjua chief Makwaiya? Historia ina maajabu yake na ajali zake tuwekeni akiba ya maneno.
 
Mimi nadhani Chadema mnamatatizo Kama mwenyekiti wenu anayependa kudandia dandia masuala yasiyo muhusu.Mmeshindwa kuujenga UKUTA sasa mmekuwa wapiga chabo kwenye vyama vya CUF na ACT.
 
Hahaha yaani zitto anasiasa za kitoto sijawahi ona, ila nadhani usaliti unamtesa

Hawa ACT wanaweza kubomoa tu, kujenga hawawezi. Trust me

Ukitaka kujua ACT ni ZZK tembelea Facebook.. Eti ZZK anaji-quote mwenyewe alichoongea kwenye mkutano...
 
Back
Top Bottom