Nilichokiona jana, hakika sex ni basic need

sijui kwa wanawake, ila kwa mwanaume sex ni lazima na asipofanya muda mrefu anaweza akawa mwehu , kumbuka mïaka zamani wakati kupata mwanamke ilikuwa shida wanaume walikuwa wanaabika kwenye madaladala
 
Mkuu walikua wanaaibika kiaje
 
Ndugu Zangu Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri
Watani Zangu Wa Morogoro Bhana
 
sijui kwa wanawake, ila kwa mwanaume sex ni lazima na asipofanya muda mrefu anaweza akawa mwehu , kumbuka mïaka zamani wakati kupata mwanamke ilikuwa shida wanaume walikuwa wanaabika kwenye madaladala
Mkuu hivi unajua kuwa kitu kama ni cha lazima kwa mwanadamu, hata mwehu anatakiwa akipate?

Sasa kama kitu ni kwa wenye akili timamu tu, uhalali wa kukiita ni cha lazima unatoka wapi?
 
Reactions: Cyb

We sijui wa wapi ....hivi wale vichaa wa kike wanaopewagwa mimba huwa zinaingia kwa hewa????
 
Mkuu taratibu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
So unataka kujua mimi ni wa wapi au mimba kwa vichaa zinatoka wapi?
 
Huyo prof anamatatizo. Hivi usipo ngonoka kwa siku ngapi unakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…