Nilichokiomba nimekipata lakini

basi atakua anapigwa 0717 maana huyo anaonekana ni fundi tu halafu hiyo ni uswazi wapi maana huko huulizi kitu nyumba ya pili tu gest napenda hiyo kaka mtoto wa kizaramo umeanza kumfundisha mwenyewe wewe
 
wewe endelea naye kwani mm sioni kosa lake huyo ni mtu mzima na ana meno 32,
Haichini
Haina Shobo
Wala makombo
Kama ukikasirika sana tafuta ingine igegede kwa hasira za kulipiza lakini hairudishi machungu
Hivyo tulia naye mjenge Maisha yataisha tu kwani ni upepo tu unaopita na baada ya miaka 15 ya Ndoa utamuona atakavyochoka na wewe bado kuwa rijali
 
Mapendekeza lianzishwe jukwaa la simulizi hapa JF.
 
Tafuta Mgomba baba no movement no say Tia shimo weka ndanii hutalia
 
wewe ulikuwa hutafuti mwenzi wa maisha ulikuwa unatafuta bikira ukaipata na ukaivunja. kumbuka kuna aliyekuwa akiitunza kabla ya wewe kuivaamia hivyo alistahili naye angalau kuonja kwa kuwa ulionyesha unataka kuchukua mzigo. huyo binti ni mjanja sana na kawaweka mahali pazuri. kwa kuwa alikuwa akimwambia mwenzio kuwa ana bikira ndio maana hampi na alipogundua haipo akaamua kumpa ili asije kuidai baadaye amejiongezea maksi kwa mwenzio hivyo ukiacha wewe atachukua mwenzio. Amua unachokitaka kabla ya kuendelea.
 

Fundifundisho hivi nielimishe hivi vipimo unavyompimia mwenzio naye akikupima navyo utafaulu au ndizo zile za mkuki kwa nguruwe lakini kwa mwanadamu mchungu..........
 
ukweli mtupu!
 
wewe endelea tu kutafuta bikra. hujajua tu wengi wenye bikra huitunza kwa kutoa tiba mbadala (0713)
 

Inaonekana una mapungufu katika suala zima la kugegeda. Yule wa kwanza hukumtosheleza ikabidi akimbilie kwa Baba, huyu wa Bikra naye kaona unacheza makida makida tu, ikabidi atafuta mtu amgegede kisawa sawa..

Cha kufanya hapo ni kujichunguza wewe mwenyewe mapungufu yako na ndipo utafute mtu. Acha papara na masharti katika utafutaji, huna haja ya kutafuta bikira; tafuta anayekupenda nawe umpende kwa dhati.
 
Nimeona na MziziMkavu ameziachia pia, ila ni upepo tu, utapita!

Mkuu, utasubiri upepo upite lakini utachoka! Kwa taarifa zilizopo Baba V naye anajiandaa kuja na story yake Mara baada ya chai chungu na MziziMkavu kupunguza spid! Kaa mkao wa kula mpiganaji!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hadithi zimezidi mpaka yale ya ukweli bado tunaona kama ni hadithi tu
 
Naona kuna nyendo za Mjeda na Masanja hapa,hivi vipande vipande vya nn??
Yeah jukwaa lishaanza kuboa.......ngoja kwa mda wa miezi kadhaa nitafute jukwaaa la kuhamia,watu naona sasa wanatafuta umaarufu badala ya kuleta issue za msingi
 
Wewe endelea nae nae huyo atakuwa sex partner wake wewe ndo mwenyewe mwenye mali mume mtarajiwa.
Ndo maisha ya mjini hapa wa peke yako utamtoa wapi???
Ukiona hafai muumbe wa kwako.
Utaacha wangapi???

Haaaaaaaaaa Amu kweli??? haya matamushi ya toka mudomoni mwako,duuuuuuu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…