Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
heshima kwenu..!
kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumwoa ana uhusiano na baba yake mzazi!
kutokana na story ilivyokuwa wengi walinishauri kuachana na binti huyo.
Ingawa nilimpenda sana niliamua kumwacha na mpaka sasa nshazoea,
Nimekaa miezi kadhaa bila kuwa na mahusiano na binti yeyote.
Nilijenga imani kwamba pengine nikipata binti ambaye bado bikira(hajaguswa) ndiye atanifaa kuoa,
Inaendelea..............

jamaa aliyekuwa anamgegeda ndio mimi
Leo nimemwita na kumuuliza kuhusu tuhuma hizo akakana! lakini nikamtishia kwamba kama asiponieleza ukweli ntamwacha.
Baada ya mkwara huo binti alianza kulia huku akipiga magoti na kuomba msamaha!
Anasema ni kweli amenisaliti na jamaa aliyekuwa na uhusiano naye tangu shule ingawa hawakuwahi kusex kabla..
binti anasema hayuko tayari kuachana na mimi kwani mimi ndiye nimeondoa bikira yake!
anasema yuko tayari kumwacha jamaa na hatonisaliti tena!
Niko njia panda,
je nimwamini au nimpotezee?
Hii ni hadithi kama zile za mjeda CHAI CHUNGU? Maana sielewi mara itaendelea.....