[*]Nimegundua ni wapi zilipo ofisi za JF, nani mmiliki wake na nana na nani wanaifadhiri JF ( Tafadhali usiniulize)
wewe sio kilaza kweli? na ukiitwa kenge utasababisha tupigwe ban? mpaka sasa hivi huwajui moderetor wa JF .mbona wapo na invisible kuna thread aliwataja wote na isitoshe wameandika kwenye profile zaoExcellent, AshaDii
Kwahiyo?
Arudi tena kifungoni akafunzwe upya. This time kifungo cha miezi mitatu.
Kwahiyo?
Kwahiyo?
afu wewe mshari...
Ushawahi kutoa mimba nini?
kumbe ndio unagundua kua Paw ni Mod? hahahaha
we ulipigwa ban na nani?
Kwahiyo?
We ni he unatumia Id na avatar ya she.
Hunaga swaga za kike kabisa
Halfu wewe una pumba sana.nilishawahi kukuuliza kama kweli wewe ni mwanachuo wa UD tena kiongozi...au ulikuwa unatufunga kamba tu???????????afu wewe mshari...
Ushawahi kutoa mimba nini?