Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

Easy man easy....
hii tunaita kazi tembo
chakula sisimizi....
jipange upya upindue matokeo
usisahau maombi lakini.
 
Mi nakwambia komaa lakini inaelekea un attitude issue ,hata ufanye nini uwezi kufanikiwa.Kwenye ulimwengu wa Roho(mshana anajua) wewe unamakwazo tayari na chochote utakachofanya uwezi kutoboa.Be positive kwanza kwakazi ya kwanza ,sahau yaliyopita,jipange ,usifanye unachofanya kwa hasira ila kwa malengo na bidi.Ila ushauri wako bomba sana.
Nyie ndio mnaoamini kila kitu uchawi....
free yourself from that crap....
jamaa amekwama kwa kukosa uzoefu tu si vinginevyo....
si kila mtu ni mkulima
 
Kuku wa kienyeji unafuga ili wakusaidie kulipa bills Na kula tu Ila si wakutoe kibiashara. Soko linalotrend mtaan ni la bloiler kwa sababu bei ipo chini mtu anaweza chukua kuku 500 kwa mkupuo kwa ajili ya shughuli kwa bei ya elf 8. Sasa kuku wa kienyeji elf 20.kupata Mteja wa kuku 500 wa kienyeji kwa wakati mmoja shughuli
Jicho la kibiashara hili..
 
Nina miaka miwili sina kazi, nilifanyiwa figisu kama zako - nimepanga Tabata 250K per month, watoto wa2, mmoja anasoma std 6 Atlas na mwingine std 2 Christ the King. Nitakomaa mpaka tone la mwisho hapa mjini.

NB: Figisu za mjini naziweza vizuri tu-wala sio muoga wa maisha.
Umenikosha sana mkuu.Nayapenda sana haya maisha ya fujo fujo mpaka kieleweke maana ajira hiz nazo zinalemaza sana hasa hiz zisizo rasmi kama za mtoa mada
 
Sasa safi, subiri wan JF waje hasa wenye uzoefu wa maeneo ya Kahama na Shinyanga. Bye the way, hebu nisaidie mimi kwa kuniunganisha na wachimba dhahabu, kama unawafahamu. Nina interest na eneo hilo.Anyway dengu vipi haiwezi kukutoa huko Shinyanga kwani nafahamu inastawi vizuri SHY na wanunuzi wapo wengi huku Dar.
Sio Bye ni By! Hope utaichukulia positively kwa ustawi wa lugha ya malkia
 
Afadhali yako umeingia kwenye ajira umepata cha kushika hata kama ni kidogo unashaurije ambao wanamalengo kama hayo unayofanya huku hawana mtaji vitendea kazi na fani ya kujitafutia riziki
Kuna kitu ambacho nimekigundua ingawa imekuwa late kidogo....wakati naongea na DC pamoja na mambo mengine alidokeza swala la fungu linalotengwa kwajili ya vijana esp kwenye kilimo...unapewa mbolea, pembejeo na madawa bure na ukilima kila kitu chako. So unaweza unda kikundi na wenzio halafu mkawaona watu Wa halmashauri huwa kuna fungu la namna hiyo. Ingawa alisema hawapendi kutoa pesa taslimu coz wengi wanatumia pesa isivyo
 
Kuna kitu ambacho nimekigundua ingawa imekuwa late kidogo....wakati naongea na DC pamoja na mambo mengine alidokeza swala la fungu linalotengwa kwajili ya vijana esp kwenye kilimo...unapewa mbolea, pembejeo na madawa bure na ukilima kila kitu chako. So unaweza unda kikundi na wenzio halafu mkawaona watu Wa halmashauri huwa kuna fungu la namna hiyo. Ingawa alisema hawapendi kutoa pesa taslimu coz wengi wanatumia pesa isivyo


Had wakawape hizo heka ni zaidi ya mwaka!labda wawe wameanza mwaka huu kuwa serious!
 
Tupo tofauti na tofauti zetu ndio zibafanya dunia ijibalance.
Hakuna aliyesema nyeupe iwe nyeusi mkuu, nilichosema usilazimishe gray iwe nyeusi. Kama unapata gray ridhika fullstop.

Sasa kwa upana wa dunia ukienda lesi na kujifanya mdai haki ndio unapotea mkuu. We unaona ni heri mtoa mada angebaki kazini japo kuna madhira madogo madogo yanayovumilika au hali aliyonayo sasa hivi anavyohangaika?

Unadhani kwenye kilimo ndio kuna haki? Dunia ni moja rafiki, watu walioko makazini ndio walioko kwenye kilimo. Kama unabisha nenda kawaulize wakulima wa korosho walichofanyiwa mwaka jana.
 
...siko vizuri mkuu-nina roho ngumu hasa.
...Nb;..kama umenisoma hapo juu nimesema sio muoga wa maisha ....hivyo madeni ninayo ya kutosha.
Mkuu madeni yanaongeza maisha .Wadeni wako wote wanakua wanakuombea maisha marefu ili uwalipe madeni yako.Wakisikia tu unaumwa wanaanza maombi upone haraka na mishe zako zikuendee fresh upate hela ulipe madeni yao...
 
"Usikurupukie biashara kama hauna information za kutosha na za uhakika"
Hii ni kweli kabisa but the saddest truth is that information za uhakika kuhusu biashara fulani huwa zinapatikana field.
Yaani ni vigumu sana kujifunza biashara kwa kuhadithiwa au kuhudhuria semina.
Hizo huwa ni preliminary stages za kuitambua biashara unayoingia kuifanya but the core pattern and system of a bussiness is learnt practically.

Watu watakwambia biashara fulani ni rahisi na ina faida lakini ukiingia ndani ndiyo utajifunza uhalisia.

Hayo yaliyokukuta ndugu yangu ni mambo ya kawaida mama sio ya lazima kwa begginers wa biashara nyingi.
Yaani from a business point of view ulichopitia ni natural process of building a busness.
Kwanza mi nakupa hongera tu kwa uthubutu,nimeona umejibu kwamba unalimia Geita na soko ulikuwa uakuja kutafutia Dar.
Kwa navyojua mimi hekari moja na nusu kutafutia soko Dar na mzigo unatoa Geita ulifanya kosa.
Naamini kama utaendelea utafanya vizuri.
 
Nina miaka miwili sina kazi, nilifanyiwa figisu kama zako - nimepanga Tabata 250K per month, watoto wa2, mmoja anasoma std 6 Atlas na mwingine std 2 Christ the King. Nitakomaa mpaka tone la mwisho hapa mjini.

NB: Figisu za mjini naziweza vizuri tu-wala sio muoga wa maisha.

Mafioso
 
Back
Top Bottom