mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
na pia wanakula sana mahindi ya kuchoma 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale mtaji wao ni pumzi tuu
na pia wanakula sana mahindi ya kuchoma 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale mtaji wao ni pumzi tuu
Kuna kitu ambacho Mungu aliweka kwenye tendo la ndoa, na sisi hatukijui. Nahisi baada ya tendo kuna kiasi cha akili zetu hupungua. Ndio matokeo ya post kama hizi.
Ushahidi mwingine ni watu waliofanya makubwa kwenye huu ulimwengu. Baadhi yao hawakuoa wala kuzaa kama Isaac Newton.
Nahisi tunapotoka kufanya tendo kuna uwehu flan tunatoka nao. Tena kwa wanaume nadhani ni zaidi kuliko wanawake, maana raha yetu ipo kwenye kumwaga na sisi kumwaga ni lazima kwenye tendo. Ndio maana wanaume tukipewa mbususu vizuri tunaandika urithi.
Kweli wewe ni Certified HaterBado hujajifunza kitu bwana mdogo
Wewe sijui ni muha mbishi?chai
MAshangazi wanafika dk ngapi?Wapo wanawake wanaofika kilele ndani ya dakika tano, mimi mwenyewe ni shahidi wengine nusu saa, wengine dakika 45,wengine saa moja na zaidi wanatofautiana.
Eheee😅😅Sema ulichojifunza kuhusu mke wako usichanganye mafaili.
Achana na madanga mkuuKusaidiwa kawaida mbona
Kunaa tuzo au
😁😁😁😁😁💯💯💯Kuna kitu ambacho Mungu aliweka kwenye tendo la ndoa, na sisi hatukijui. Nahisi baada ya tendo kuna kiasi cha akili zetu hupungua. Ndio matokeo ya post kama hizi.
Ushahidi mwingine ni watu waliofanya makubwa kwenye huu ulimwengu. Baadhi yao hawakuoa wala kuzaa kama Isaac Newton.
Nahisi tunapotoka kufanya tendo kuna uwehu flan tunatoka nao. Tena kwa wanaume nadhani ni zaidi kuliko wanawake, maana raha yetu ipo kwenye kumwaga na sisi kumwaga ni lazima kwenye tendo. Ndio maana wanaume tukipewa mbususu vizuri tunaandika urithi.
Wapo wanawake wanaofika kilele ndani ya dakika tano, mimi mwenyewe ni shahidi wengine nusu saa, wengine dakika 45,wengine saa moja na zaidi wanatofautiana.