elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
- Thread starter
-
- #141
Mkuu hakuna aliyesema Arusha ni mbaya ila orodhesha hapa changamoto serikali yako sikivu huenda itasikiaNilichogundua nimeona km uliishia kilombero pale. Mi nimeenda karibu mikoa yote tz lakini miji mizuri huku mikoani ni mwanza ikifuatiwa na arusha. Ila km ukienda kisiasa hasa ukiwa ccm, arusha kamwe sio mji mzuri kila kitu chake ni mbaya.
Nilichogundua nimeona km uliishia kilombero pale. Mi nimeenda karibu mikoa yote tz lakini miji mizuri huku mikoani ni mwanza ikifuatiwa na arusha. Ila km ukienda kisiasa hasa ukiwa ccm, arusha kamwe sio mji mzuri kila kitu chake ni mbaya.
good●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Kakmjaribu ujinga km huna pointWakazi wengi wa Arusha ni masikini mafukara wa kutupwa...Watalii na wafanyakazi wa kigeni ndio wanaibeba Arusha
Ni kweli kabisaUkiacha jiji la Dar. TZ Ni mwanza na arusha ndoo ukifika hukosi sehemu za kuinjoi
ni Lafudhi na sio rafuziPoa poa nipo hapa bar ya stendi nashangaa rafuzi mare charii, mamaa, jombaa
Rekebisha hapo usilinganishe Mwanza na hicho kijiji chenu cjui mnakiita Arusha.Kwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia
Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Dora ndio kaushuzi gani na wewe papasi..Ubabe unawasaidia nini, labda mngekuwa Benghazi, mbabe wenu ni mmoja ana Dora yupo magogoni
Jiji gani lisilo na beachWaambie baba umesahau na Geneva OfAfrica IPO chugga ,Aicc je? 4ways ya kutoka sakina adi Holili Taveta Kenya je?? Aaahh waache bhna chugga tunaenjoy balaaaaa iv Nimesahau Madini ya Tanzanite je? Aya ngoja nikimbie naruhusu kupigwa mawe
mbna nyie watu wa arushaa mwanza huwa inawanyima sana usingizi tatizo ni nn nyiee jamaaa thread inazungumzia arusha... mwanza tayari inaanza tajwa we jibu hoja kwa kuitetea arusha yako na sio kuitetea arusha yako kwa kutegemea support ya mwanzaKwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia
Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Uku nilipo kazini soda sio take away ni 10 usd.Mkuu umetumia vigezo gani kujua sina hela kuna sehemu inauza soda zaidi ya elfu kumi? Ndyo nyie msiyojua kwamba kutembelea mbuga au milima gharama zake ni elfu kumi, unajifungia kwenye kichupa na kuogopa kwenda hata tarangire ukijua watakucharge dola kama wazungu, acha ujuha
Tumia akili nan kakwambia jiji n lazma liwe na beach...!Jiji gani lisilo na beach
Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Siijui arusha naionaga tu kwenye tvNa kisongo.au hujui arusha vizuri
Njooni na masingeli yenu tuwapopoe.Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdani
Njooni na masingeli yenu tuwapopoe.Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdani