Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Hili vumbi la huku ni noma, mvua ikinyesha pia inakuwa ni shida tope lake si mchezo...

Machalii wa Unga Ltd kina Mchome wanajua...

Humu kina Fisadi wanasema eti watu kule wanaishi kwenye mawe wanadai pia ni washamba, huku dada zao wanapenda, wanalilia mbegu za kina Mkuu wa chuo...

Wanacheck jitu strong, machalii nawatoa maswala ya viroba...
Naona fisadi kuu amekupa facts umeshindwa kuitetea mwanza kwa facts sasa unaanza kupost pumba...!
 
Kwani ni uongo hakuna vumbi...?! Fact nyingine ukubwa wa jiji ni mdogo mita za mraba, kwa mfano ukiwa Sekei tu tayari upo nje ya jiji hata pale Chekereni...

Hizo Fact alizotoa bwana Fisadi ambazo zinaiweka Kilimanjaro pia juu, wewe mwenyewe haujiulizi kwanini sasa Moshi isiwe jiji...?!

fact za bwana Fisadi zimebase katika maswala ya kodi, we unadhani ni kwanini TAMISEMI hawakuliona hilo...?! Wakaipa Mwanza kwanza hadhi licha ya Arusha kuwa mbele mkoa kwa kodi...

Arusha ilipewa hadhi ya jiji ikiwa pamoja na Mbeya na Tanga, we unadhani kwanini ilipokwa hadhi ile...?! Baada ya kurekebisha mambo fulani ndio ikawa swadakta...

Fact za bwana Fisadi zina deal na kodi ya TRA pamoja na HDI...
 
Hiyo ni "typo" tu kijana... Huoni aibu kurekebisha kitu kidogo kama hicho?? Au nimewakong'ota mpaka mnatafuta makosa
Typo wapi? We tumia tu lugha yako usitake kuforce babu, unataka nani akurekebishie makosa yako humu? Na hakuna uliyemkong'ota, mi mwenyewe sio mkazi wa mwanzà lkn huwezi kunishawishi eti Arusha imeizidi mwanza, si kweli.
 
Wakati huo mwanza hakuna project zozote za ujenzi wa barabara ama ulitaka kutuaminisha lipi??.
Two lane ya Mwanza ina 2.7 km wakati ya Arusha ni four lane ina international standards kama unavyoiona kwenye hiyo illustration ina 14.1 km.
images
 
Kwani ni uongo hakuna vumbi...?! Fact nyingine ukubwa wa jiji ni mdogo mita za mraba, kwa mfano ukiwa Sekei tu tayari upo nje ya jiji hata pale Chekereni...

Hizo Fact alizotoa bwana Fisadi ambazo zinaiweka Kilimanjaro pia juu, wewe mwenyewe haujiulizi kwanini sasa Moshi isiwe jiji...?!

fact za bwana Fisadi zimebase katika maswala ya kodi, we unadhani ni kwanini TAMISEMI hawakuliona hilo...?! Wakaipa Mwanza kwanza hadhi licha ya Arusha kuwa mbele mkoa kwa kodi...

Arusha ilipewa hadhi ya jiji ikiwa pamoja na Mbeya na Tanga, we unadhani kwanini ilipokwa hadhi ile...?! Baada ya kurekebisha mambo fulani ndio ikawa swadakta...

Fact za bwana Fisadi zina deal na kodi ya TRA pamoja na HDI...
All out of official reports ni pumba tu.

Oh! vumbi Oh! wadada Oh! Moshi Oh! Sekei Oh! Nje ya jiji

Won't help nothing lete facts sio blahblah!!!
 
Two lane ya Mwanza ina 2.7 km wakati ya Arusha ni two/three lane ina international standards kama unavyoiona kwenye hiyo illustration ina 14.1 km.
images
Yaani wewe hata haulewi kinachoendelea jijini mwanza. Nikuambie kitu talk of luxury hotels siyo miundo mbinu. Kwa miundo mbinu mwanza is far extra miles ukilinganisha na Arusha. sometimes tupunguze mahaba ili wasioyafahamu haya majiji wapate kujifunza chochote
 
Yaani wewe hata haulewi kinachoendelea jijini mwanza. Nikuambie kitu talk of luxury hotels siyo miundo mbinu. Kwa miundo mbinu mwanza is far extra miles ukilinganisha na Arusha. sometimes tupunguze mahaba ili wasioyafahamu haya majiji wapate kujifunza chochote
 
Naona fisadi kuu amekupa facts umeshindwa kuitetea mwanza kwa facts sasa unaanza kupost pumba...!
Hahhahaha Jana kajitahidi kwenda na hali ya mjadala kwa kupinga facts sasa zimemlemea ametafuta kote kakosa andiko lolote la Mwanza kuwa juu ya Arusha Leo kaona isiwe tabu ngoja nianzishe taarabu matokeo yake ndio haya sasa.
 
Yaani wewe hata haulewi kinachoendelea jijini mwanza. Nikuambie kitu talk of luxury hotels siyo miundo mbinu. Kwa miundo mbinu mwanza is far extra miles ukilinganisha na Arusha. sometimes tupunguze mahaba ili wasioyafahamu haya majiji wapate kujifunza chochote
Kwanza unaonekana thread umeanzia mwishoni jaribu japo kuanzia page ya 6 Arusha tumeshusha madude ya maana.

Nimekupa gape la road hapo unakimbilia kwenye hotel kwa taarifa yako Arusha ina vitanda luxury 2800 wakati Mwanza ina 900 tena vingi havina uluxury wowote so swala la hotel jitoe kabisa hampo kwenye ramani.
 
Ndo maana nakuambia uwe unasoma kilichoandikwa na kukielewa usikimbilie kubisha tu, nimekuambia kwa arusha ongelea luxury hotel hapo kidogo nitakuelewa na siyo miundo mbinu. Japo hata hotel zenyewe ni chache mno zilizoko town arusha nyingi ni outreach. Na ukizungumzia zile za arusha mjini hazina tofauti yoyote na za mwanza.
 
Arusha inawakazi wengi wazawa na sio washamba kwani Jiji wanalijua vzr......tofauti na wakazi wa dar wengi ni washamba wametoka vijijini uko basi wameona dar ndio kila kitu wakati sio kabisa.........dar ndio jiji linaloongoza kua na wakazi wenye hari ya chini kuliko miji mingine km Arusha....mwanza na Moshi.....sasa nyinyi wakazi wa dar embu semeni dar kuna kivutio gani cha utalii?

Sifa mojawapo ya jiji lolote duniani lazima liwe na uwezo wa ku atract watu kutoka miji na mataifa mengine kuja kuwekeza, ndiomana Dar na Mwanza zinaongoza kuwa na sifa hiyo ya ku atract hao unaowaita washamba kutoka mikoani ikiwemo Arusha kuja mjini maana ndio kwenye kila kitu. We unafikili akina joe makini bila kuja mjini dar muziki wao watamuuzia nani wakati arusha hamzijui shangwe,? 😀
 
Kwanza unaonekana thread umeanzia mwishoni jaribu japo kuanzia page ya 6 Arusha tumeshusha madude ya maana.

Nimekupa gape la road hapo unakimbilia kwenye hotel kwa taarifa yako Arusha ina vitanda luxury 2800 wakati Mwanza ina 900 tena vingi havina uluxury wowote so swala la hotel jitoe kabisa hampo kwenye ramani.
Hahahaha!! Nimesoma page to last. Kuna mengine nimeyaona humu ya kusikitisha. Badala ya kuchangia point mtu analeta habari za ukabila na kikanda eti mara north empire yaani nikashindwa hata kuelewa. Na nilivyouelewa huu uzi haukuwa unalinganisha mwanza na arusha bali wasi wasi wa njemba moja humu ikaona kama uzi unaidisi arusha ndipo psle u'VS ulipoanzia. Kifupi nimeupitia line tu line.
 
Ndo maana nakuambia uwe unasoma kilichoandikwa na kukielewa usikimbilie kubisha tu, nimekuambia kwa arusha ongelea luxury hotel hapo kidogo nitakuelewa na siyo miundo mbinu. Japo hata hotel zenyewe ni chache mno zilizoko town arusha nyingi ni outreach. Na ukizungumzia zile za arusha mjini hazina tofauti yoyote na za mwanza.
Miundombinu kama IPI?
Sababu Arusha katika miundombinu inayoongoza kwa uboreshwaji saivi ni barabara inajengwa nyingine ya arusha bypass ina 42.4 km achana na barabara za streets zilizojengwa last year kwa lami zaidi ya 100 km maeneo tofauti.

Arusha umekuja lini?
 
Sifa mojawapo ya jiji lolote duniani lazima liwe na uwezo wa ku atract watu kutoka miji na mataifa mengine kuja kuwekeza, ndiomana Dar na Mwanza zinaongoza kuwa na sifa hiyo ya ku atract hao unaowaita washamba kutoka mikoani ikiwemo Arusha kuja mjini maana ndio kwenye kila kitu. We unafikili akina joe makini bila kuja mjini dar muziki wao watamuuzia nani wakati arusha hamzijui shangwe,? 😀
Point!!!.

Kifupi penye fursa za maendeleo ndo hupendwa zaidi, unafikiri why people are leaving arusha to mwanza and dsm??
 
Miundombinu kama IPI?
Sababu Arusha katika miundombinu inayoongoza kwa uboreshwaji saivi ni barabara inajengwa nyingine ya arusha bypass ina 42.4 km achana na barabara za streets zilizojengwa last year kwa lami zaidi ya 100 km maeneo tofauti.

Arusha umekuja lini?
Miundo mbinu ya barabara mwanza ipo juu kwa arusha
 
Miundombinu kama IPI?
Sababu Arusha katika miundombinu inayoongoza kwa uboreshwaji saivi ni barabara inajengwa nyingine ya arusha bypass ina 42.4 km achana na barabara za streets zilizojengwa last year kwa lami zaidi ya 100 km maeneo tofauti.

Arusha umekuja lini?
Naishi sabato huku maji ya chai
 
Naishi sabato huku maji ya chai
Sasa ndio inakuaje?

Me sibishani kitoto leta data supportive legitimacy documents zinazonesha Mwanza ipo juu sio blabla zinachosha na zinaondoa reputation yangu na zina niunderrate.

As we gave you official reports why Arusha is way forward the same thing you should do in return why Mwanza being so.
 
Hahhahaha Jana kajitahidi kwenda na hali ya mjadala kwa kupinga facts sasa zimemlemea ametafuta kote kakosa andiko lolote la Mwanza kuwa juu ya Arusha Leo kaona isiwe tabu ngoja nianzishe taarabu matokeo yake ndio haya sasa.
Hzo facts za fisadi kuu zpo too general mi nimebase kwenye hii miji miwili...ye amekrupuka na mapato kwa njia ya kodi na akaja na conclusion kuwa jiji la Mwanza si lolote....fact zake zipo sahihi but nimemwambia anipe takwimu za majiji na miji ktk contribution ya kodi....naamini akileta utaona minimal difference kat ya Chuga na mwanza (as cities) ukitoka nje ya mji Wa Mwanza hakuna chchte kinachobeba mkoa, zile wilaya choka mbaya sana...hata ukiunganisha na geita bado hal ni tete cse geita pale ni GGM tuu...but ukitoka nje ya Chuga pale mjini utakuta vyanzo kibao.. ..hvyo mi nahtaji hzo data za miji na majiji...!!!! TRA wanatakiwa watupe uchanganuzi huu pia
 
Back
Top Bottom