Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Sifa mojawapo ya jiji lolote duniani lazima liwe na uwezo wa ku atract watu kutoka miji na mataifa mengine kuja kuwekeza, ndiomana Dar na Mwanza zinaongoza kuwa na sifa hiyo ya ku atract hao unaowaita washamba kutoka mikoani ikiwemo Arusha kuja mjini maana ndio kwenye kila kitu. We unafikili akina joe makini bila kuja mjini dar muziki wao watamuuzia nani wakati arusha hamzijui shangwe,? 😀
Huwezi peleka fiesta chuga mana watu wanashangaa shangaa kama mazombie....burdan yao ni viroba, bangi na gun
 
Hzo facts za fisadi kuu zpo too general mi nimebase kwenye hii miji miwili...ye amekrupuka na mapato kwa njia ya kodi na akaja na conclusion kuwa jiji la Mwanza si lolote....fact zake zipo sahihi but nimemwambia anipe takwimu za majiji na miji ktk contribution ya kodi....naamini akileta utaona minimal difference kat ya Chuga na mwanza (as cities) ukitoka nje ya mji Wa Mwanza hakuna chchte kinachobeba mkoa, zile wilaya choka mbaya sana...hata ukiunganisha na geita bado hal ni tete cse geita pale ni GGM tuu...but ukitoka nje ya Chuga pale mjini utakuta vyanzo kibao.. ..hvyo mi nahtaji hzo data za miji na majiji...!!!! TRA wanatakiwa watupe uchanganuzi huu pia

Okay Fanya ulinganifu wa superiority ya Arusha na Mwanza from their recent cities budget in comparison.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la MWANZA limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017

Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz

Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya jiji la Arusha hatimaye jambo hilo limewekwa hadharani ambapo kiasi cha shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza mipango ya kimaendeleo.

CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Sasa nikupa range ya cash budget deposits in hand ya hizo halmashauri mbili unaweza kuhama Mwanza .
 
Sasa ndio inakuaje?

Me sibishani kitoto leta data supportive legitimacy documents zinazonesha Mwanza ipo juu sio blabla zinachosha na zinaondoa reputation yangu na zina niunderrate.

As we gave you official reports why Arusha is way forward the same thing you should do in return why Mwanza being so.
Nonsense!!!
 
Typo wapi? We tumia tu lugha yako usitake kuforce babu, unataka nani akurekebishie makosa yako humu? Na hakuna uliyemkong'ota, mi mwenyewe sio mkazi wa mwanzà lkn huwezi kunishawishi eti Arusha imeizidi mwanza, si kweli.
Uliombwa urekebishe?? Kuna aliyerekebisha zaidi yako au unafikiri wengine hawakuona??

Mbona wewe ulivyokuja kuomba kukopeshwa laki mbili humu hakuna aliyekupigia kelele?? Huko mtaani huishi na watu au wanaokuzunguka wote ni choka mbaya??

Nahitaji mkopo wa dharura
 
Miundombinu kama IPI?
Sababu Arusha katika miundombinu inayoongoza kwa uboreshwaji saivi ni barabara inajengwa nyingine ya arusha bypass ina 42.4 km achana na barabara za streets zilizojengwa last year kwa lami zaidi ya 100 km maeneo tofauti.

Arusha umekuja lini?
Mkuu unapoteza muda tu... Huoni huyo ni miungoni mwa wale wale wawili walioshindwa kutetea hoja kwa data na tafiti bali ni blah blah... Kaamua tu kucreate account nyingine jana aje kuongeza ubishi.
 
All out of official reports ni pumba tu.

Oh! vumbi Oh! wadada Oh! Moshi Oh! Sekei Oh! Nje ya jiji

Won't help nothing lete facts sio blahblah!!!
Kuna mahali nimeona Property Tax ya Jiji la Arusha inaizidi ya Jiji la Mwanza... Nikileta hapa wataingia mitini
 
Okay Fanya ulinganifu wa superiority ya Arusha na Mwanza from their recent cities budget in comparison.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la MWANZA limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017

Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz

Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya jiji la Arusha hatimaye jambo hilo limewekwa hadharani ambapo kiasi cha shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza mipango ya kimaendeleo.

CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Sasa nikupa range ya cash budget deposits in hand ya hizo halmashauri mbili unaweza kuhama Mwanza .
We hapo umeelewa au umepakua link na kuipost bila kuilewa. Madiwani kupitisha hicho kiasi inategemea na demand ya halmashauri inachotaka kufanya. Wewe uliewa nini??.

Ukiona hivyo ujue kwa miundo mbinu arusha bado ipo nyuma ndo maana wameweka bajeti kubwa.
 
Mkuu unapoteza muda tu... Huoni huyo ni miungoni mwa wale wale wawili walioshindwa kutetea hoja kwa data na tafiti bali ni blah blah... Kaamua tu kucreate account nyingine jana aje kuongeza ubishi.
Duh alafu kama ulikua kwenye akili yangu.

Fake ids Fake mindset
 
We hapo umeelewa au umepakua link na kuipost bila kuilewa. Madiwani kupitisha hicho kiasi inategemea na demand ya halmashauri inachotaka kufanya. Wewe uliewa nini??.

Ukiona hivyo ujue kwa miundo mbinu arusha bado ipo nyuma ndo maana wameweka bajeti kubwa.
Nakuweka kwenye ignore list load of crap.
 
Ndo maana nakuambia uwe unasoma kilichoandikwa na kukielewa usikimbilie kubisha tu, nimekuambia kwa arusha ongelea luxury hotel hapo kidogo nitakuelewa na siyo miundo mbinu. Japo hata hotel zenyewe ni chache mno zilizoko town arusha nyingi ni outreach. Na ukizungumzia zile za arusha mjini hazina tofauti yoyote na za mwanza.
Naona umeamua kuja na ID mpya ili uanze ubishi upya... Kufungua tu umevamia hapa na hivyo vipost 10 vyote umevitolea hapa... Tunawaendesha mpaka unacreate ID nyingi nyingi...
 
Point!!!.

Kifupi penye fursa za maendeleo ndo hupendwa zaidi, unafikiri why people are leaving arusha to mwanza and dsm??
Last time I checked Arusha ina viwanda vingi kuliko Mwanza...

Arusha mwaka 2014/15 zimefunguliwa biashara mpya 7500 wakati Mwanza 3200... Hizi ni official si blah blah..

Rudi kwenye ID yako ya siku zote usifiche ujinga huku...
 
Kuna mahali nimeona Property Tax ya Jiji la Arusha inaizidi ya Jiji la Mwanza... Nikileta hapa wataingia mitini
Hahahahaaa Mkuu obviously lazima iwe hivyo Arusha ipo mbele ya Mwanza in every aspect.

Lakini imetuzidi kwa umasikini uliokithiri you know hahahahaaa

Mungu hakupi vyote
 
Uliombwa urekebishe?? Kuna aliyerekebisha zaidi yako au unafikiri wengine hawakuona??

Mbona wewe ulivyokuja kuomba kukopeshwa laki mbili humu hakuna aliyekupigia kelele?? Huko mtaani huishi na watu au wanaokuzunguka wote ni choka mbaya??

Nahitaji mkopo wa dharura
Hahahahahaaa Mkuu stop it kumbe ni makapuku hivi duh hii kweli inareflect accuracy ya report ya Mwanza ni over poverty.

100% confirmed!!!
 
Mkuu unapoteza muda tu... Huoni huyo ni miungoni mwa wale wale wawili walioshindwa kutetea hoja kwa data na tafiti bali ni blah blah... Kaamua tu kucreate account nyingine jana aje kuongeza ubishi.
Data hata sisi tunaweza kukusanya na kufanya tafiti. Ukishindwa unalinganisha kwa macho hapo utagundua mwanza ipo juu. Kila mtu na mwalimu wake. Ndiyo maana twaweza walikuja na data zao zikawa hazikubaliki kipindi cha uchaguzi unafikiri wakuchunguza. Bebe nang'ho.
 
Naona umeamua kuja na ID mpya ili uanze ubishi upya... Kufungua tu umevamia hapa na hivyo vipost 10 vyote umevitolea hapa... Tunawaendesha mpaka unacreate ID nyingi nyingi...
Ni Shida aisee hizi nondo ni grade A

Hahhhaaa
 
Arusha Directory:Wataka kuona vimini vya vimini (min-miniskirts)? Nenda Picnic, stress free zone.
 
Back
Top Bottom