kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 860
Dah!!! Wasameheni wasukumaaaa hawajui walitendalo,,,,, aiseeeeeUsafi ndio jadi yetu....bara bara safi km mbele yan...!View attachment 405649View attachment 405650View attachment 405651View attachment 405652View attachment 405653View attachment 405654View attachment 405655View attachment 405656
Hawa jamaa sijui huwa wanapata wapi pumzi ya kuishushia heshima arusha...!Dah!!! Wasameheni wasukumaaaa hawajui walitendalo,,,,, aiseeeee
😀😀😀😀Hawa jamaa sijui huwa wanapata wapi pumzi ya kuishushia heshima arusha...!
Tano au hata 1?Msukumaaa anatishia sanamu la samaki,,,, dah kweli wako nyuma kimaendeleo,,, ukiwaambia wakutajie five star hotel mwanza cjui kama zitafika tano
Mafisadi mnatabu....Siku ile nilikwambia sema upo wapi nije kukuchukua tupimane ubavu ukasingizia uko site Kwa Mromboo... Njoo hapa mtaa wa uhindini
Arusha ni kijijini mkuu ukitoka kidogo sanawari vumbi tupu uswahilini hakuna mji huko bora hata Dodoma kuzuro
Hiyo ni New York recreation center au City Park usifikiri wamepaacha hivyo sababu wamekosa kitu cha kujenga hapo.
Unaijua Gold Crest ya Mwanza? Ni five Star Arusha ni Ngurdoto tu hakuna nyingineTano au hata 1?
IPO ya nssf imeshatafuna miaka so chini ya 7 haiishi hiyo ndio itakua 5 star ya kwanza Mwanza hizo nyingine ni kama corner bar tu.
Tunaanza na hii...hapa n friends corner...Mwanza haipo moja usibishane bila ushahd....za Chuga weka ushahd kama wameinstal zimefikia sita kama unavyodai
Huyo ni mtani wangu huyo hahaMafisadi mnatabu....
Unajua criterion za 5 star au unaangalia ukubwa Wa jengo tu kwanza ujue lile jengo lina office kibao kama TIB Bank Vodacom NMB Bank PPF na Shops na office nyingi hivyo ukiliona vile sio lote ni hotelUnaijua Gold Crest ya Mwanza? Ni five Star Arusha ni Ngurdoto tu hakuna nyingine
Acha povu ww,,, mount meru, kibo palace, ni nnUnaijua Gold Crest ya Mwanza? Ni five Star Arusha ni Ngurdoto tu hakuna nyingine
Sanawari IPI ina vumbi???Arusha ni kijijini mkuu ukitoka kidogo sanawari vumbi tupu uswahilini hakuna mji huko bora hata Dodoma kuzuro
Arusha hakuna barabara ya hivyo acha uongo dogo...Sanawari vumbi tupu ukishakata kona hapa kwenye mataa mpaka mianzini ni uswahilini vumbi tupu nyumba ziko vichochoroni...ki ufupi Arusha hakuna plani ya mji kuko local sana ukitembea dakika mbili kutoka katikati ya mji unaingia vichochoroni matejoo..unga ltd..kwa mromboo....kijenge kote huko ni uswahilin vichochoroni kumejaa vibaka tuSanawari IPI ina vumbi???
Eti Dodoma. Dodona ipo hivi
Arusha hakuna double road jiji gani hilo bora hata Iringa kuna double road mji wote umejaa barabara za uchochoroUnajua criterion za 5 star au unaangalia ukubwa Wa jengo tu kwanza ujue lile jengo lina office kibao kama TIB Bank Vodacom NMB Bank PPF na Shops na office nyingi hivyo ukiliona vile sio lote ni hotel
kama Impala hotel Naura Spring Palace Hotel Kibo Palace New Arusha Hotel East African All Suit Hotel Corridor Spring Hotel Parrot Hotel few to mention ambayo ni majengo makubwa kuliko Gold Crest ambapo sidhani hats kama kuna vyumba 35.
Lofa kabisa wewe hiyo barabara ipo Arusha tena imeshakamilika kwa baadhi ya maeneo unafananisha Arusha na huo uchafu shukuruni UDOM mji umekaa kishamba vinyumba vya tope havina hata bati juu ya paa la nyumba mnalima mahindi na mtama.Arusha hakuna barabara ya hivyo acha uongo dogo...Sanawari vumbi tupu ukishakata kona hapa kwenye mataa mpaka mianzini ni uswahilini vumbi tupu nyumba ziko vichochoroni...ki ufupi Arusha hakuna plani ya mji kuko local sana ukitembea dakika mbili kutoka katikati ya mji unaingia vichochoroni matejoo..unga ltd..kwa mromboo....kijenge kote huko ni uswahilin vichochoroni kumejaa vibaka tu
Sidhani hata kama unajitambua Mzee wa posho town.Arusha hakuna double road jiji gani hilo bora hata Iringa kuna double road mji wote umejaa barabara za uchochoro
Aisee hii ni league ya Arusha na Mwanza wewe wa Dodoma Tafadhali muone Katavi au Songwe.Arusha hakuna barabara ya hivyo acha uongo dogo...Sanawari vumbi tupu ukishakata kona hapa kwenye mataa mpaka mianzini ni uswahilini vumbi tupu nyumba ziko vichochoroni...ki ufupi Arusha hakuna plani ya mji kuko local sana ukitembea dakika mbili kutoka katikati ya mji unaingia vichochoroni matejoo..unga ltd..kwa mromboo....kijenge kote huko ni uswahilin vichochoroni kumejaa vibaka tu
Sema double road iko wapi hapo Arusha? Hujitambui wewe Arusha ni kijijinLofa kabisa wewe hiyo barabara ipo Arusha tena imeshakamilika kwa baadhi ya maeneo unafananisha Arusha na huo uchafu shukuruni UDOM mji umekaa kishamba vinyumba vya tope havina hata bati juu ya paa la nyumba mnalima mahindi na mtama.